Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Siku za karibuni kumejitekeza tatizo la kuvaa miwani kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15 hasa walio shuleni,nini chanzo chake hasa na ni kipi cha Kufanya ili kutopata taabu hii? Wataalamu...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Je ni madhara gani anaweza pata kwa mtu ambaye utotoni mwake alibakwa lakni hakuwaambia wazaz au walezi wake ni mtoto wa kiume aliyebakwa..... Msaada juu ya hili ndugu zangu
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Ni hivyo wandugu,mwenzenu nataka kujua utofauti wa uimara wa hizo zana. Na kwa swali la nyongeza,ni kwanini hiyo mipira ya kike haipatikani madukani?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mimi nikiogea sabuni ya aina yoyote ile hua natokwa na mba sana kichwani hasa ukizingatia sipendi kunyoa au kua na nywele fupi, Hivyo nikaamua kuanza kutumia shower gel kwa kuogea. Kwakua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MPO? Karibia kila kitu kina uzuri na ubaya wake. Madawa ya kupanga uzazi yana mazuri yake ambayo kila siku tunayasikia.Lakini mbona hatuelezwi ubaya wake? Ni ukweli japo wanaukataa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna hizi sabuni wanaita za asilia kwa ajili ya kusafisha uke. Sabuni kama Kaisiki & Ivan na nyingine za kampuni kama ya gnld. Je zinaweza sababisha madhara yeyote kwa mtumiaji? Naomba kuelimishwa Plz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waungwana wana JF Hili tatizo la utasa/ugumba linaondokaje. Nina mwezi wa 6 Sasa sijampatia mpenzi wangu ujauzito, Je ushauri jamani nifanye vipi kiafya ili aweze pata ujauzito
1 Reactions
3 Replies
2K Views
11 Foods To Increase Libido These foods will increase your libido so that you can devour her all night long. By Derrick Nelson, Sex Education Correspondent Page 1: 11 Foods To Increase Libido...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Naomba kufahamu je mwathirika wa ugonjwa wa UKIMWI anaweza kufanyiwa upasuaji wa kansa kama ya titi na akazidi kusurvive? Msaada please.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Mtu mwenye afya bora ambaye anazingatia balance nzuri ya chakula anapata haja kubwa kwa siku mara moja. Siku tatu mpaka nne itatokea tu kwa bahati mbaya akapata haja kubwa mara mbili katika mwezi...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
Naomba kuuliza wana jukwaa hili. Je, Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia? Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
0 Reactions
11 Replies
18K Views
Kutumia kondomu inaweza kumfanya mwanaume achelewe kufika kilele, hasa kwa wale wenye tatizo la kufikia mshindo haraka.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu wa Nchi naomba kuuliza hivi mtu akiwa na ugonjwa wa kisukari Anaweza kupata tatizo la kutokuwa na mbegu za kiume ? Na kama ndio Kuna Dawa ambazo zinaweza kumsaidia kurudisha sperms...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa wa kitaalam zaidi. Mke wangu alipatwa na stillbirth muda wa miezi mitatu iliyopita na alijifungua kwa njia ya kawaida kabisa. Sasa naomba kueleweshwa kama ktk...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
habari wakuu,kwa wafamasia,doctors na wafanyabisha wengine wa dawa,naulizia upatikanaji wa dawa Bismuth Subsalicylate na bei yake.,natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Msaada kwa jina Kigereza, huu ugonjwa na unasababishwa nini?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wa Nchi Wapi nitapata hayo maganda ,Kuna uzi hapa jamii doctor unasema ukichemsha ni Dawa nzuri sana ya Kushusha kisukari type 2 Au kuponyesha kabisa. Niko Arusha mjini. Msaada please.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tohara kwa wanaume ina faida nyingi ikiwa ni pamoja na kuweka uume safi, kupunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya ngono ikiwemo VVU na kansa uume na kizazi.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…