Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wakuu habari za leo Mwanangu wa mwezi mmoja anatokewa maziwa puani hali hii imejitokeza wiki ya pili toka kuzaliwa kwake. Sasa jana imeenda mbali yametoka mpaka maskioni . Wakuu nini...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
1.wat are things causing it. 2.wat are its disadvantages3.how can a person get rid of it 4.can it be treated.......if yes how can it be treated. **kwa anayejua naomba anisaidie@graph...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Ndugu poleni na kazi kubwa ya kuimarisha afya za Watanzania pamoja na kujenga taifa. Nina mdogo wangu wa kike ana umri wa miaka 20 ana tatizo linalompa shida sana,kuna vipele kama vchunusi vidogo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu, Ni matumaini yangu mu wazima kimwili na kiakili. Nimepata mawazo sana kuhusiana na hili swala la maziwa ya viwandani ya kwenye pakiti kama vile brookside, azam, parmalat na...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Nawasalimu wote jamanii. Jamani me ninatatizo kila ninapofanya mapenzi huwa namwaga faster sana yani ndani ya dakika ishirini nakuwa nishaenda ata tatu kabisa, yani najiona nipo tofauti sana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani nikipiga moja tu mashine inalala, nifanyaje niweze kwenda round ya pili hapohapo mke wangu naye afurahie tendo la ndoa.
1 Reactions
45 Replies
17K Views
Naombeni kujuzwa ivi kuna dawa ya kurudisha hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake, ndoa yangu iko hatiani ni mwanamke nimeolewa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa ila mume wangu nampenda sana.
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Naomba kuuliza kama inawezekana kufuta chale zinazotokana na kuchanjwa na waganga wa kienyeji na kama jibu ni ndiyo ni njia gani inaweza saidia'
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wandg wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku, tatizo linalo nisumbua ni kuwashwa sehemu ya kichwa cha uume wangu yaan kunakuwa kama kuna mdudu anatembelea ndani, kujikuna ni shughuli inabidi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ona hiyo Dawa inaonyesha imetengenezwa Mwaka April 2016 Hata huo Mwaka Hatujaufika ndio Kwanza Tupo Mwezi 6 Mwaka 2015 Ahh kazi kweli na Hizi Dawa za Sumu za Kizungu. Tuamkeni na Hizi DAWA ZA...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada, nina binti yangu ana umri wa miaka 16. Amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara. Leo nimempeleka hospitalini amechukuliwa kipimo cha pylori na akaonekana na...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Ndugu zangu naomba kufahamu Nyama ktk uke wa mwanamke zikiwa zimejitokeza nje, maana yake nini? Ufahamu nilionao ni kwamba amekaangwa sana Je hili ni kweli? Au ni maumbile. Naomba radhi Kama...
0 Reactions
31 Replies
15K Views
Anayefahamu kuhusu hilo tatizo tafadhali naomba maelekezo pia kama anafahamu tiba yake maana nasikia mtu akiwa nalo anahitaji kupata dawa kwa muda wa miezi sita. Kutumia dawa kwa muda wote huo...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
[SIZE=3]Habari wana
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Mdogo wangu amekuwa akusumbuliwa na Shida ya constipation siku nyingi sana, sasa Leo ameniuliza juu ya dalili alizonazo kuwa ni kitu gani na he kinatibika? Ni hivi anadai kuwa siku hizi akienda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu akila tu chakula anatapika Mara kwa Mara ,hali hii inanipa wasiwasi kwa mdogo wangu, jamani naombeni dawa mbadala nimsaidie mdogo wangu wana JF Mungu awabariki sana.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wadau, Mwanangu ana miaka kama miwili hivi na mara nyingi huangalia kiganja chake cha mono wa kushoto na kuangua kicheko. Anaweza akafanya hivyo mara kadhaa kwa siku na mara nyingine...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandaliwa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuchemshwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Poleni kazi! Ni tangu usichana wangu matiti yangu yamekuwa yakitoa vimajimaji, nilishawai kwenda hospitali tofauti tofauti lakini tatizo lipo pale palei ila hakuna maumivu yoyote, na si...
0 Reactions
32 Replies
33K Views
Je? Huandikwa hivyo? Inasaidia nini kwa binadamu? Je kwa watoto pia inafaa? Wapi yaweza kupatikanaa. Nashukuru. Akhsante.
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…