MSAADA MADAKTARI JAMANI,Nimewahi kuota ndevu sasa nilizoea nazikwangua zote kwenye mashavu zimejenga weusi kwenye shingo na mashavu kias kwamba naonekana mtu mzma sana wakat nina miaka 25 sasa...
Vuta pumzi alafu fikiria, kichwa cha mtu mmoja mzima aliyehai mwenye tatizo na mwili wake wa chini kwa sababu mbalimbali iwe ni ugonjwa kama kansa au ulemavu wa kupooza kikatwe na kuhamishiwa...
Nimeota Nywele Kuanzia Sehem Za Sili Mpaka Kifuani Yaani Tumbo Ndio Usiseme Kabisaa! Ninatamani Sana Kuzinyoa Lakn Naogopa Kwan Nikizinyoa Naweza Pata Madhara Gani Kiafya? Umri Wangu Ni Miaka 20...
Wakuu,
Kila jambo linanitatiza kidogo kuhusu hii kitu Masturbation/Punyeto inaathiri au inachangia vipi uume kuwa mdogo au kibamia! Naomba kujuzwa juu ya hili jambo.
Karibu
Ni wiki sasa tangu nijaliwe mtoto wa kwanza, toka alipozaliwa daktari akaniambia mama alimminya mtoto wakati akimpush hadi kupelekea kichwa kubonyea upande mmoja wa kushoto juu ya sikio upande wa...
First of All niwape pongezi za haja kwakulinda maisha yenu kwa kuvaa kondom kila mnapo fanya mapenzi, afya ni utajiri
Ishu yangu kwa wadau wa salama (3BOMBA,HALISI) wale wa DUME na zile za...
Licha ya kutokuwa na utamaduni wa kuangalia afya zetu mara kwa mara, kwa kuangalia ngozi za watanzania walio wengi unaweza kuthibitisha kuwa watanzania wengi wagonjwa(wengi wao wakiwa wanawake)...
While testing a recently developed molecule, JP-III-48,-on samples from HIV-positive patients, researchers at the University of Montreal in Canada observed something groundbreaking. The molecule...
Ni katika hatua za kujifungua. Mke wangu ilibidi ajifungue kwa forced labor. Baada ya kuzaliwa, mwanangu anapumua kwa kukoroma na kwikwi, nimeambiwa tatizo ni hayo maji ya uchungu aliyokunywa...
Ndugu wataalam naomba kujua sababu, tiba, na madhara kwa baadhi ya watu miili yao kupata ubaridi usio wa kawaida wanapokua sehem yenye barid, unasalmiana na mtu mikono ya baridi mbaya.
Badonnasugua kichwa inawezekanaje box/packet likawa na ujazo wa mapera/maembe/mchanganyiko na ladha ile ile halafu liuzwe kwa shilingi mia tano au elfu mbili ili hali kukamua juice yenyewe...
habari ndugu zangu wa jf mimi ni kijana nasumbuliwa na miguu yapata miaka 5 kila nikifanya mazoezi ya mpira tu miguu inauma kweli ila nikiachana na mazoezi sisikii miguu ikiniuma jana nimecheza...
Wakuu heshima kwenu. Naombeni kufahamishwa chanzo halisi na tiba ya tatizo la kuota vinyama sehemu ya haja kubwa, Tatizo hili huambatana na maumivu yanayovuta na kuachia kama vile una kidonda au...
I am seeking help with medical terminology from english to swahili. examples:
1. Hemorhoid
2. Hiatal hernia
3.Colonoscopy
4. Colorectal Cancer
5. Colostomy
6.Barium enema
7.Sigmoidoscopy
8...
Kwa wenye matatizo ya kisukari, pressure, upungufu wa cd4 mwilini, nguvu za kiume, chango, miguu kuvimba na kupasua, uchovu wa mara kwa mara na maradhi mengne. Njoo upate tiba kutokana na dawa...
Nasikia nabanwa na kitu kama vichomi tumboni kwa chini hasa upande wa nyonga /diaphram baadhi ya watu wameniambia ni baridi ninywe maji au chai ya moto nimefanya hivyo lkn bado hii mi siku ya...
Nina tatizola kuvimba tezi za mate, submandibular gland kwa miaka mingi. Mwanzoni daktari alihisi ni sababu ya stones kwamba zinajijenga kwenye tezi na kuzuia mate kutoka. CT-scan ikatumika na...