Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu yang kila akipata ujauzito ya kwanza miezi 3 tumbo linamuuma anablid alafu ndo mimba inaisha hivyo, Ya pili nayo hivyo hivyo kapata mimba ghafla tumbo linamuuma anablid hospital walipima lkn...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani Tafiti Zinaonyesha Kuwa Kuvaa Boxer Au Chupi Kwa Wanaume Kuna Madhara Sana. nguo izo kwa sbb zinabana na penis inapocmama inashindwa kucmama vzr ivyo kufanya mishipa yake ambayo ni laini...
0 Reactions
34 Replies
17K Views
Habari wana jf, Nahitaj msaada wa kitaalamu mi kijana nna umri miaka 26 nna girlfrnd wangu ana miaka 21 tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu sasa ila kuna tatizo analo mpnz wangu huyo. Akifikia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima yenu wakubwa, Ni week ya pili sasa nahisi maumivu kwenye Pum**** japo sio sana kwa mbali tu. Jana katika kujipapasa nahisi nina vigorori vitatu; kimoja kidogo viwili kawaida.. Je, hii...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Karibuni wadau, na watalaamu.. Je ni utalaam up unaotumika kunyolea ndevu kwa wembe kwa kutumia mkono au mashine yake na je ni kwel usababisha vipele.. na je kunatofauti yoyote kunyoa kwa wembe...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni
0 Reactions
5 Replies
9K Views
wakuu habari za humu nilikuw napenda kufaham kikubwa kuusu hili swala kwann mtu akinywa pombe anatapika...??? Binafsi natumia hvy vinywaji yan pombe ila cha kushangaza nikinywa pale pombe...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana jamvi?! Naomba kujua dawa ya kuondoa uchafu wa masikio. Tatizo langu ni kuwepo kwa vitu vigumu/uchafu ambao najaribu kila siku kuutoa au kuupunguza bila mafanikio .nimeshatumia mpaka...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ahsante sana dada Faiza kwa ushauri wako nitaufanyia kazi inshaallah na nitakupa matokeo. Mungu azidi kukubariki
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtoto wangu alichomwaga sindando ya quinin mwezi january bt imemletea maumivu ya mguu na baadae akawa hawezi kukanyaga chini kisigino kinamuuma... yuko dar kwa ajili ya easter tu.. naomba msaada...
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Wana jf ninamdogo wangu anasumbuliwa sana na sikio linauma sana na wakati mwingine kuziba lakini halitoi uchafu wala maji. ametumia dawa nyingi za antibiotics kutoka hospitali mbalimbali bila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mnisaidie dawa hapa maana hili tatizo limeeanza na wengi ni wahanga
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid ​ KWA UFUPI Alisema kwa mujibu wa takwimu za kawaida zinazopatikana kutoka katika vituo vya kutolewa huduma za afya , zinaonyesha kuwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Msaada tafadhali Nina mke na ndoa yetu ina miezi saba sasa, tangu mwaka jana nimepata tatzo la kufanya tendo la ndoa na kutoa mbegu ambazo hazina rangi ya kawaida(nyeupe) bali zinaonekana na rangi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani naombeni kufahamishwa kama muathilika wa H.I.V katumia mswaki wako ikapita saa moja ukautumia bila kujua je unaweza pata maambukizi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii forum mie nina kaka yang mkubwa tu huwa miguu yake inapenda sana kuweka moto ndani yake,sasa munaweza kunisaidiaje juu ya hili tatizo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba msaada jaman ninshida au tatizo la kupoteza faham kwa sekunde kazaa alafu faham inarudi. Nini shida na kama kunashida nn ufumbuzi wa hili tatizo
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naweza kutumia fertility drugs bila ushauri wowote wa daktari??
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Wadau naomba mnisaidie kujua umuhimu wa kula nyama ya pweza na kunywa supu yake... Na muhogo mbichi unasaidia nini ukiula?.
0 Reactions
68 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…