Jamani, nisaidieni ninunue dawa gani au cosmetic creams gani effective za kuondoa huu weusi wa ngozi wa kuzidi katika makwapa, magoti, elbows, and in-between the thighs? Yaani, hii inanisumbua...
Magonjwa ya mfumo wa njia ya mkojo na figo ni kati ya maradhi yanayowasumbua watu wengi duniani. Dalili za ugonjwa huu ni pamoja na kukojoa mkojo wenye harufu mbaya au mkojo wenye rangi ya maziwa...
Hellow,habari?
Well, mi ningependa kujua dawa/namna,either kiasili or not,ya jinsi ya kutoa makovu ya kuungua moto,au makovu ya vidonda,kwa mtoto,na pia mtu mzima!
Shukria,
Mhusika alishauriwa kutumia mkongoraa kama sikosei na rafiki yake ambaye ilimsaidia kwa matatizo hayo, lakini huyo rafiki ameshindwa kutaja inapatikana wapi kwa kuwa yeye alipewa tu.
Kama kuna...
Bima ya afya imekuwa inajitanua kila siku ila kwa bahati mbaya huduma zake kwa baadhi yetu ni mbaya sana. Yaani ni sawa na wizi wa mchana. Tunakatwa hela kwenye mishara yetu lakini hatupati...
Wanajamvi habari zenu
Naombe ushauri kuhusu kunyonya uke wa mpenzi wako
Hii ni sawa?
Na inaruhusiwa kiutalaamu naombe ufafanuzi kuhusiana na hili plizzzz...
"Natanguliza Shukrani...
dk mimi ni mpigaji wa punyeto nina miaka miwili na nusu, ninachotaka kujua mm ni kwamba je ninaweza kuwa nimepata madhara yoyote makubwa kamaniki amua kuacha kwa muda hiu
Wana bodi kwanza salamu.
Baada ya hapo naomba kuuliza ni hospitali gani nzuri au Daktari bingwa wa maumivu makali ya mgongo yanayopelekea kuishiwa mate kabisa na koo kubana kwa hapa Dar Es...
Ninampenzi wangu anahisia kali sana yaani akigusana tu na mwanaume hisia zinapanda atakama wakisalimiana kwa kushikana mikono. Mfano nikitaka kudooo nae nikimshika tu mkono analegea na anakuwa...
Habari
Naomba kufahamishwa tiba ya kiungulia kinanisumbua hasa nikila vitu vilivyopoa Kama maharage viazi vitamu hata kitu chochote chenye harufu ya kuungulia au kushika n.k msaada please...
Habari za weekend wakuu, poleni na majukumu.
Naomba nitangulize tahadhari kwa asiyekuwa na wazo/mchango juu ya hili asicomment chochote au kutoa ushauri wa kubeza maana wengi hufikiria kila kitu...
Wakuu naomba msaada,
Mimi hapa mjini ni mgeni nina wiki mbili tu nimekuta mengi mapya.
Moja linalonishangaza na kuniduwaza ni huu utaratibu wa kuchamba kwa kutumia toilet paper.
Je, hauna...
Kwa mujibu wa ripoti za Shirika la Afya Duniani vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyo ya kuambukiza, kitaalumu Noncommunicable Diseases (NCDs) vinatarajiwa kuongezeka maradufu ifikapo mwaka 2030...
wanajf nasumbuliwa ganzi kwa muda mrefu sana naomba mnisaidie tiba yake au ni hospital gani au dokta gani ni mtaalam wa ugonjwa huu. Dawa nimetumia sana na kuna baadhi ya watu wanahusisha ugonjwa...
Habari za weekend.
Naanza kwa tafiti ziliyofanya tangu mwaka 2008 hapa nchini Tanzania (Tanganyika,Unguja na Pemba).Nilibahatika kufanya mahojiano na wadada/wamama wengi na kuwaaliza ni kitu gani...
Jamani wapendwa jf DOCTOR naombeni kwa hili nitumie dawa gani ili nijinusuru kwani kinauma hasa upande palipo na moyo ikiamua kuuma napata shida sana kwani hata kuvuta pumzi huwa shida, niko kwa...
Huku kulala nikiwa nimevaa viatu inatokana na adha ninayoipata mara baada ya kuvua viatu nikirudi nyumbani,huwa nawashwa na kuamua kujikuna kiasi cha kutokwa na damu.
Naombeni ushauri niondokane...