Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ndugu WanaJF nataka kufahamishwa madhara ya mbolea kutumiwa katika mazao ni yepi?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wadau tunaomba msaada wa tiba ya huu ugonjwa,,,kama ni asili au ya tiba ya kisasa tutashukuru kuna mwana jf mwenzetu anasumbuliwa,,,,,uvimbe huu ni shida kila aendapo haja kubwa maumivu ni kali...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu nisaidieni huu ugojwa gani,na kipi nifanye kuzuia tatizo lisiendelee? Toka niko Mdogo nilikuwa nna mwanya mdogo ila umeongezeka mpaka sasa nkichonga jino la bandia wanaweka meno mawili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada juu ya hili waungwana asanteni
0 Reactions
14 Replies
5K Views
70 Ways to Increase Your Brain Power You Want More Brainpower – Not Higher IQ Scores! Okay, maybe you want higher IQ scores too. The American Heritage Dictionary defines Intelligence Quotient...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna shida inamkuta ndugu yangu wa karibu ana miaka arobaini na tano kwa sasa ila bado anaendele kupata hedhi, na alikaaga kwa muda wa miezi isiyopungua nane bila kupata hedhi lakini now imemrudia...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nimekuwa nikisikia huu mjadili wa "matumizi ya Fluoride" kwenye dawa ya meno na Athari zake.Wengine wanasema Fluoride haina madhara kama ikitumiwa kwa kiasi na kwa upande mwingine wengine...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Gastroesophageal Reflux Disease (GERD) is the back flow of the stomach contents into the esophagus (the tube that connects the mouth to the stomach) with or without esophageal inflammation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jamii Forums. Mnisaidie nini kisababishi cha maumivu ya korodani rafiki yangu anasumbuliwa ni wiki ya pili sasa. Kapima damu na mkojo yukosafi. Tunaomba msaada wenu.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau kwa yeyote mwenye ratiba nzuri ya lishe ya mtoto wa kuanzia miaka 3 mpaka 7, ( Tafadhali naomba.
0 Reactions
44 Replies
15K Views
Habar za humu ndan members naomben ushaur na msaada wenu jinsi yakutumia calender. Ili kuzunisipate mimba na kujua mzunguko wangu ni mrefu or mfup or wakawaida Kuanza mwenz wa kumi na moja siku...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Habari ya asubuhi wandugu Mimi ni mama wa mtoto mmoja, Jaman mwenzenu kama nilivouliza mara ya kwanza kuhusu sindano ya uzazi wa mpango ambayo nilichoma mwezi wa tisa mwaka jana na...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Five common home Remedies and their uses : We all have home remedies for combating health, skin and cleaning that have beenpassed down from generation to generation. I remember a few of these...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili nimelisikia mahali,eti mtu asipocheka uwezekano wa kupata makunyanzi unapungua. KUNA MAHUSIANO GANI KATIKA HILI?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kichaa cha mbwa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoambuklizwa kutoka kwa wanyama hadi binadamu kupitia kwa mate. Njia iliyo ya kawaida zaidi ni wakati ambapo mtoto ameumwa na mbwa. Hata...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari za leo ndugu zangu wapendwa? Ni matumaini kuwa mpo safi kabisa. nimekuja hapa kwenye hili jukwaa nikiwa nina shida moja inayonitatiza. jana nilikuwa nampa chakula mwanangu (ana miezi 7 na...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
naomba mnisaidie nilishiriki na duu mmoja asubuhi yake nikikojoa mkojo hutoka taratibu na kwa maumivu :teeth:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WALIOATHIRIKA WA MASTURBATION TIBA YAKE: Chagua utakayoiweza kuibeba kati ya zifuatazo:- (a) Unga wa Parachichi vijiko vitatu vya chakula na unga wa kahawa kijiko kimoja cha chakula vichanganye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heri ya mwaka mpya wapendwa. Natoa shukrani zangu kwenu nyote mlionishauri na kunifariji wakati nikiwa nahitaji mtoto, hamkuniacha mpweke mpaka mimba ilipotunga na niliwajulisha, sasa Mungu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari. Mimi ni mwanamke ninaetarajia kupata mtoto kwa kipindi hiki. Mzunguko wa siku zangu ni siku 28... na napoingia kwenye siku zangu naenda siku tatu. Mara ya mwisho kuona siku zangu ilikuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…