Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Inasemekana huu ugonjwa unashika kasi sana Tanzania. Wataalamu mnaweza kutujuza zaidi kuhusu kirusi hiki?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari ya muda huu,naitaji kujua huu ugonjwa kwa undani kwa yeyote anayefahamu chochote kuhusu huu ugonjwa anijuze maana kinakopita nasikia kafa au anaugua cancer ya kizazi Brief on it...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini za mda huu wataalam wa jukwaa hili, Kwamda wa takriban mwezi1 uliopita nilikutana na demu1, nikaendanae hadi getoni kwangu nikamtongoza, baada ya kumtongoza kwamuda wakutosha akanijibu...
0 Reactions
121 Replies
19K Views
habari ya mapumziko wataalam.mimi natakakujua kuhusu infazone,nime meza leo namalizi cha 5,je nitege mee kushika mimba lini? 2:naona majimaji lakini yananukia vidonge, je?nikawaida kwakua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomben msaada ndugu yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki na hali...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
madaktari na wataalamu tusaidieni katika ushauri kw huyu jamaa tatizo lake uume mwembamba na korodani ndogo umri miaka 26 uume unasimama kama kawaida na anamwaga vizuri je swali lake je anauwezo...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Ni week ya pili sasa tangu mwanang Blesswell amezaliwa ila hataki kabisa kunyonya na tumempeleka hospt hana shida yeyote hata kidogo so tunampa maziwa ya ngo'mbe ambyo sio rasmi naomba ushauri...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
abari wakuu,nisaidieni.leo siku yatano namalizia,je? tapata majibu mwezi huu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Samahani sana kwa usumbufu ndugu zangu naomba msaada wenu kama nilivyoandika hapo juu mm nasumbuliwa sana na tatizo la vichomi sijui tatizo lake nn na dawa yake ni nn jamani msaada wenu tafadhari.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
kwa anayejua eusophagael tumour ni nn na wapi ninaweza kupata matibabu anisaidie jaman.baba yangu kaambiwa kuwa ana tatizo hilo na daktar nimezunguka Naye hospitali nyingi bila mafanikio naishia...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Habari... Kuchoka mwili na kujisikia uchovu na usingizi mara mara hua inasababishwa na nini? Na je nifanye nini ili kuepukana na hizi hali?
0 Reactions
21 Replies
18K Views
Jaman wana JF nisaidien et kwa kawaida uume inatakiwa urefu gani
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Natumai nyote wazima wa afya, Nimekuwa nikinywa maji yasiyo pungua lita 5 kwa siku, yaani asubuhi nikiamka tu nakunywa lit 1, nakaa mpaka saa saa 3 asubuh baada ya chai tena nakunywa lit 1...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
yule dr msabati anatibu kwa tiba mbadala.kama kuna mtu anajua ofisi yake anielekeze pls nna shida nae.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Great Thinkers, Katika shughuli zangu kama mtaalam nimekutana sana na suala la matumizi ya madawa ya kienyeji hususan wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua. Pamoja na heshima kubwa...
1 Reactions
53 Replies
54K Views
Ninatambulisha tiba ya ugonjwa wa kisukari. Imethibitiswa na kuruhusiwa nchini. Kafanye A1C, FGP ama OGTT test kabla ya matumizi ya hii dawa ambayo nitakupa in details, kisha baada ya wiki mbili...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa kufahamishwa juu ya tatizo linalonisumbua la kuumwa kichwa kila mara ninapoamka usingizini, na ninapofanya kazi kwa muda mrefu kwenye laptop, au ninapoangalia tv hasa kwenye...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Jamn mm ninamatatizo yaaani nikipiga bao moja tu kwenye mechi siwezi tena why? Saidien mm
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Nikiamka asubuhi huwa niko nomal level. Kadri siku inavyo zidi kusogea ndivyo inavyozidi kuvimba usawa wa vifundo kwenda chini,nikibonyeza kwa kidole hakuna maumivu ila naacha kishimo kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimepatwa na tezi nadhani lakini nikawa nahisi kitu kooni. sasa nimechunguza nimegundua ni kimeo kimerefuka sana. kabla sijaenda hospitali ningependa kupata maoni toka huku
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…