Nilidhamiria kutoka Mwanza na kwenda kupiga kambi katika Mkoa wa Tabora. Katika Manispaa ya Tabora, hakuna daladala katikati ya mji, kitu ambacho kilinishangaza, watu wengi hutumia bajaji na boda...
Habari zenu wapendwa?
Nna mtoto ana mwaka mmoja sasa, jamani ni mateso hataki hata kidogo kula nimetumia kila mbinu lakini nimekwama. Nimpe dawa gani ili awe anakubali kula?
Habari za Eid wapendwa,
Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa...
Habari doctors,
Nina ndugu yangu alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno, miguu, usingizi hapati, tumehangaika naye kila hospital hatimae tulipoenda TMJ ndipo tulipata jibu kuwa...
Katika Uzi huu nitaorodhesha magonjwa tishio kwa vijana 90% hutokana na Ngono na Uraibu
1. Ugonjwa wa Figo
Visababishi
-UTI isiyotibiwa
ulevi
high blood pressure isiyodhibitiwa
-Matumizi ya...
Habari Wana jamii.
Nahitaji mwenye address yeyote ya mtaalamu Wa saikolojia, ambaye anaweza kutuliza a real broken heart.
Akiwa Dar es salaam itakuwa vyema zaidi.
Ahsante.
Habari wanaJamiiForums,
Nimepata changamoto kwa mzazi wangu kwa kusumbuliwa na uvimbe katika koo na tulivyoenda hospitali ya taifa Muhimbili alifanyiwa kipimo kinachoitwa (OGD) ni kipimo hatara...
Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye...
Habari waheshimiwa!
Nina tatizo la kifua la muda mrefu saaana, nimekwenda hindu mandari lakin kila Dr. anasema lake, mara na dalili za pumu, huyu anasema na dalili za "Nimonia" sasa nataka...
Alianza kumfuatilia mrembo huyo miezi kwa miezi kadhaa bila mafanikio, mtoto kaumbika, rangi ya mtume. Binti huyo alimaliza chuo mwaka juzi na kaajiriwa dar kwenye kampuni moja kubwa tu. Alikua na...
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa...
Mnamo mwaka 2012 nilichomwa na kitu chenye ncha kali sehemu ya chini ya ukucha wa dole gumba mguu wa kushoto.kwa kweli sikuona ni kitu gani kwa kuwa eneo hili lilikuwa na maji kutokana na mvua...
Hello Wana JF, naomba kuuliza kwa nini hizi bei za mitishamba bei zake ni kuanzia 150,000 kuendelea ? Kule Facebook ukiingia huko utakuta kuna matangazo mengi sana kuhusu dawa za kienyeji na bei...
Mara nyingi imezoeleka kuwa Vimelea vya Ukimwi 'VVU' vinaambukzwa kwa njia ya damu. Hivi kunyonyana mate na mtu ambae ni muathirika wa HIV/AIDS anaweza kukuambukiza virusi vya Ukimwi? Na kama ni...
habari wapendwa. naomba kuuliza swali moja kuhusu ukimwi
1: ku-share mate (kiss za wazungu "Denda" inaweza kusababisha kupata virusi vya ukimwi kama mmoja kati yao atakuwa na VIRUSI? kama ndiyo...
Hope mko poa wakuu.
Nimekua nikijiuliza sana maswali haya na sijapaga majibu sahihi naombeni msaada wenu.
1 je kirusi cha HIV huishi muda gani bila kufa kikiwa nje ya binadam, mfano mtu mwenye...
Wapendwa habari,
Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf,
Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na...