Wana JF naomba mnisaidie kwani nna tatizo ambalo kuna wakati sehemu za siri kunavuta na kiuno kinashika kiasi ikitokea hiyo najikunja na kutembea kama kikongwe.Inatokeaga ghafla,Sijazaa bado...
Habari wana Jamiiforums. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mke wangu kwa siku za hivi karibuni wakati na baada ya kusex analalamika ya kuwa anawashwa sana ukeni, tofaut na mwanzo mpaka hataman...
Heshima kwenu wana jamvi...!!
Nimekua na tatizo la kuongezeka kwa mapigo ya moyo kila niamkapo asubuhi.
Hali hii imenianza kwa zaidi ya wiki moja sasa, na pia mapigo ya moyo huongezeka kuanzia...
Kuna Energy drink inaitwa ni energy drink iliyotengenezwa na caffen ya asili inayotumika nchini Brazil. mtumiaji wa kinywaji hiki ataweza kupata faida zifuatazo:
Huondoa maumivu ya kichwa kwa...
Wakuu tulipanga kutoa dawa hii kwa watu 15, lakini mpaka sasa wamechukua watu 11 (kumi na mmoja) tu
Watu wanne wamepiga simu na kushukuru kuwa dawa ni nzuri imewasaidia sana.
Wawili wamesema...
Naomba msaada wenu tafadhali,nyama za mguu zinaniuma had nashindwa kutembea.ni upande wa nyuma kutoka kwenye goti had kwenye unyayo.tafaaaaaadhali nisaidien tatizo ni nin?
Habari wana JF.
Ni matumaini weng wetu ni wazima ila mimi hali si nzur sana.
Ndugu wana JF, naomba maelezo kwa wataalamu wa meno na kinywa. Kwa muda mrefu nilikua naumwa jino hatimaye leo...
Hili naomba nilielekeze moja kwa moja kwa madaktari mnaopatikana hapa Jf,
Tatizo hili limemuanza akiwa Mchanga na sasa ana miezi 9 nimejaribu mara kadhaa
kumpeleka hapo hospitali nimepewa vidonge...
Kemikali zinazopatikana katika baadhi ya bidhaa ambazo hutumiwa
kila siku kama vile dawa ya kusugua meno, sabuni na mafuta ya
kujikinga kutokana na miale hatari ya jua zinaweza kuharibu mbegu
za...
Ninatatizo la mifupa toka nikiwa mdogo hadi leo hii bado nateseka nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio huwa unatokea uvimbe mikononi na mguuni baada ya kupasuka uvimbe huwa vinatoka vipande vya...
No matter how bad your day might be, it can't be as bad as the young man who had to have hundreds of maggots removed from his ear -- with tweezers.
Last May, an unidentified patient approached...
Daaah nina tatizo lakusumbuliwa na vipele vingi sana katika kidevu changu kutoka na kazi ninazofanya sometimes inanibidi kutumia hata wembe basi hapo ndo huwa ni makosa makubwa sana na hata...
Nimenyamaza lakini nimekosa uvumilivu. Kwanini ikulu inasema Rais Kikwete ana tatizo la Prostrate?
Sasa nirudi kujadili.
Prostrate ni neno la kiingereza na maana zake hizi hapa:
adjective
lying...