Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari zenu waungwana Mwenzenu nimekuwa na hili tatizo la kuteguka bega, ni ngumu kidogo kuielezea hii hali ila nitajitahidi kadri ya uwezo Iko hivi, tatizo hili mara ya kwanza kunitokea nilikua...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Msaada wadau hsptl nlienda nkapima nkaambiwa nina malaria na typhod nmetumia dawa lakini sioni mabadiliko
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Nimekutana na product ambayo imenisaidia matatizo ya vidonda vya tumbo vilivyonitesa kwa muda mrefu. Jambo zuri zaidi, imeokoa maisha ya ndugu zangu waliosumbuka kwa magonjwa muda mrefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na somo hapo juu! Mwanangu, 2yrs, aakohoa sana, na hasa nyakati za usiku mkubwa, mara nyingi kuanzia saa 8 hadi kunakucha. Tumeenda Hosp, vipimo vya damu na mkojo majibu ni safi! Tumempa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mabusha ni hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya tabaka mbili za utando unaozunguka korodani. Inakadiriwa kuwa karibu asilimia moja...
0 Reactions
15 Replies
28K Views
WanaJF nauliza hv ni sawa kwa mtoto wa miezi minne kupewa maji na juisi ya tikiti maji angalau mara moja kwa siku (maji kidogo sana)!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie,coz somehow nahisi kuwa confused with the situation of my gf,kwa kawaida tumekuwa-tuki enjoy sana relationship yetu since we met,but unfortunately nimetoka safari...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
RADIO DORTCH VELLE YA MJINI KOLON UJERUMANI JANA ILITANGAZA DAWA ZA DICLOPA NA DICLOPHENAC KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU IMEGUNDULIKA VIDONGE HIVYO HUSABABISHA KANSA YA INI NA UBONGO...
5 Reactions
63 Replies
23K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Good health is something very important. We need it for other things to be done well. In finding for good health solution to my parents, friends and relatives I came to found about a wonderful...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Mhali gani ndugu,mimi baba yangu anaumwa kisukari aina ya Type 1 ,niko tayari kwenda kokote duniani nimpe zawadi ya kupona ameshatumia insulin kwa miaka minne sasa kwenye mitandao nimezunguka...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mwenye uzoefu ama aliyewahi kuugua ugonjwa wa macho katika upande wa optic nerve na kumfanya kuwa na uoni hafifu anisaidie uzoefu aliobao kuhusu ugonjwa huo.mimi pia nina matatizo hayo huu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
If health and weight loss aren't enough to get you to exercise, how about improving your sex life? Sure, exercise can help you look better, always a plus in one's love life, but it also gives you...
1 Reactions
0 Replies
819 Views
Wataalam kazi kwenu hivi flue namaanisha mafua yakiambatana na km uchovu mfano wa homa ukila dawa za flue pekee kuhisi kwa homa kunatoweka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu yani kila nikiamka asubuhi nasikia kichefuchefu balaa mpaka natapika pind napopiga mswaki,so asubuhi sili kabisa mchana nakula kidogo mno usiku kidogo najitahidi,sasa madokta nifanye...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari wana jf ,mm nna ujauzito una wiki 3 mara ghafla leo asubui nikaona bleed kiasi cha kuvaa pedi moja,eti hii ni kawaida au ndio nimepata miscarriage? Lakini cjisikii vibaya wala kuumwa nipo...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
ULAJI wa supu ya pweza, karanga mbichi, muhogo mbichi, mbata kwa dai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
ANAOMBA MSAADA Niwapo hedhi naumwa sana na tumbo hasa maeneo ya nyonga pia lina jaa sana,miguu inajaa nahisi kuchoka muda wote had kumaliza siku, pia nakuwa na hasira kupita kias nisaidien plz!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…