Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

je kuna madhara yeyote au uhatarishi ukitoa mimba yenye mwezi mmoja..na je mimba inakua hatari zaidi kutolewa inapokua na miezi mingapi. nahitaji kufahamishwa tafadhali
0 Reactions
16 Replies
9K Views
WanaJF Doctors, Nasikia Asali mbichi ni tiba ya mambo mengi mhimu ya mwili lakini mimi nikitumia tumbo linauma. Nifanyeje?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Why energy is quantized???
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Middle aged women, who regularly partake in some form of exercise each day, are significantly reducing their chances of getting cancer. London: Everybody is aware of the fact that exercise is...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Kitendo cha kulia na kutoa machozi ni kitu kinachokubalika na tamaduni zote duniani. Unapocheka au kulia mwili huweza kupitia mabadiliko ya kikemia na kifikia pia kutoa machozi au kucheka vyote...
6 Reactions
52 Replies
13K Views
Wanabodi Nimekuwa nikisumbuliwa na maamivu ya tumbo, linawaka moto kwa upande wa juu karibu na kifua, nimeenda hsptl ya muhimbili nikafanya kipimo cha endoscopy, nikagundulika na ugonjwa wa GERD...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
.
1 Reactions
87 Replies
11K Views
Mama yake kajifungua kwa operation na kufariki Dunia,alikuwa dada yangu ,kwa sasa kanatumia maziwa ya unga Lactogen 1.Naomba jamani kama kuna mbinu zaidi za kitaalamu zenye kuniwezesha kumkuza...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Nimeisikia hii kutoka kwa dokta mmoja wa mwanza (huenda msukuma) kwenye kipindi cha startv saa 4 usiku tar 11/02/2013, nijuzeni kama ni kweli ati mifupa ya dagaa inachomachoma kwenye utumbo na...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
je kuna dawa ya kusaidia kukuza cognition level kwa ajiri ya watoto wanaopata taabu shuleni?, na je kuna madhara yoyote kutumia dawa hizo na kama yapo nini mnashauri,na kama kuna aliyetumia mtoto...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Naomba msaada,nilichoma sindano kwenye paja lakini hii ni wiki ya pili sasa nahisi maumivu makali,nitumie nini kupoteza maumivu haya?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Waungwana, Nina tatizo la miguu (Joint Magotini). Nikitembea miguu inalia kama mifupa inagongana. Huwa nafanya mazoezi ya kucheza mpira wa miguu, hivyo nakimbia sana. Lakini sasa nashindwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu zanguni habari za mchana huu? Ndugu zangu mm nlikua naomba kuuliza dalili za mimba kwa binadam huanza kuonekana bada ya mda gani tokea kuingia kwa mbegu za kiume?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika...
1 Reactions
5 Replies
12K Views
Habari wana jamii, kwa muda kama wa mwezi hivi nakuwa kama nimepaliwa na kitu bila hata yakula chochote wala kunywa ni(hewa tu) hii inanipelekea kukohoa na kupoteza sauti kwa kama dakika moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mawazo ndugu zanguni.wife kapata mimba huu ni mwezi wa pili naombeni mnishauri namna bora ya kuitunza ili aweze kujifungua salama lakn pia ajifungue mtoto mwenye afya njema.asanten kwa...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Wadau naomba msaada wenu,kwenye ma group ya Damu kuna group la o- (O negative) huyu anaweza akamuongezea mtu mwenye damu group gani? Nasumbuka sana na swali hili tafadhali anayejua naomba...
0 Reactions
7 Replies
17K Views
habar wakuu nnapata hilo tatizo kila siju hali hii inanpata sna sana nkiwa na wasiwasi najisikia kichefuchefu na kuacha kula kabisa asubuh sometimes hali hii mpka mchana but jion inapotea msaana...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza wana Jamii forum kwa michango yenu mnayoitoa katika mada mbalimbali humu jamvini kwani imekuwa msaada kwa Watanzania wengi sana Mungu aendelee kuwabariki na awape...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Salaam wana jf Doctor. Mimi ni mtumiaji (mnywaji) wa kahawa kwa sasa nina takribani miaka saba ya utumiaji wa kahawa. Naombeni mnijuze kama kuna madhara yoyote ya kiafya naweza kuyapata...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…