Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Natanguliza heshima kwenu, Nawaombeni tumsaidieni huyu dada, tatizo lake anapofanya sex hujisikia raha inapochukua mda kidogo hupata maumivu makali sana, ili hali uke unakuwa umetota namanisha...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Je ni madhara gani anaweza yapata mama mjamzito endapo siku zake za kujifungua zimefika na chupa imeshapasuka na hasikii uchungu ushauri namna ya kumsaidia huyu dada jamani Mzizi mkavu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu natoa dawa ya sukari bure kabisa.Unachotakiwa kufanya ni kunipigia simu na kunielekeza mahali ulipo na dawa utaipataje then unatuma nauli nakutumia dawa.Kwenye suala la nauli madereva huwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau hebu nisaidieni,huyu ndugu yangu ana dalili hizi; anaumwa joint za magoti,anaishiwa nguvu,akiwa na njaa anahisi kutetemeka,anapungua wakati mwingine mwili wake unarudi kama kawaida.mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Panic attack ni nini? Panic attack ni uoga mkubwa unaompata mtu.uko kwenye kundi la magonjwa ya wasiwasi (anxiety disoders). Uoga huu huweza mpata mtu kwa sababu maalum kama vile kuona nyoka...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari Ndugu zangu. Uso wangu umefubaa baada ya kutoka uzazi na hauvutii. chunusi na mabaka kwa wingi. yani nimeparara haswa. nitumie nn niwe smooth. mie ni mweusi. thanks in advnce
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu wanajf Naomba msaada wa kujua hospitali bora zilizoko jijini Da es salaam na maeneo zilipo ndani ya Da es salaam. Naombeni msaada wenu tafadha, nikipata kuzijua 10 zinatosha.
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Habari wakuu,yapata wik 2 sasa nimekua nikitokewa na hali ya uume kusimama kwa more than 2-3 hours bila kurejea katika hali yake hasa kuanzia saa10 usiku mpaka sa moja, JE tatizo yaweza kua nini...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Wataalamu wa afya, baada ya kufanya mazoezi mwili unakuwa umechemka na mapigo ya moyo kwenda mbio. Je, ni sahihi kuoga mara baada ya mazoezi au natakiwa kusubiri kwa muda gani? Je, kama...
0 Reactions
17 Replies
13K Views
Je kuumwa na tumbo mara baada ya kunywa Asali inasababishwa na nin?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
hamjambo jamvin hapo,ni dawa ipo kiboko ya minyoo ambayo ni zaidi ya albendazol
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimda gani tokea kuambukizwa virus vya ukimwi muathirika anaweza kupima ukimwi na kugundurika amesha athirika?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika???
0 Reactions
10 Replies
2K Views
I love this poster so much, I feel motivated every time I look at it! Exercising outside in the colder months helps your body to produce brown fat, which is the substance that burns white fat, the...
4 Reactions
5 Replies
5K Views
This article was written by Leah Zerbe and Emily Main and repurposed with permission from Rodale News. What's the one food you refuse to eat? Peas? Tofu? Liver and onions? Whatever it is, it's...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hili tatizo nimekuwa nalo tokea kuzaliwa, natokwa na majasho mengi mno mkononi na mguuni tena nikiwa na hofu yanazidi mara mbili pia huwa natetemeka sana asa sielewi huu ni ugonjwa gani maana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kinshasa mwaka 1955, janga la HIV lilikuwa linatesa mjini humu na kote nchini DRC hasa mkoa wa Katanga Ugonjwa wa ukimwi uligunduliwa miaka ya 1920 mjini Kinshasa, nchini Jamuhuri ya kidemokrasia...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Naombeni msaada wenu madokta kama kuna dawa ya stress, nahisi kama nina stress hivi.. Nasijui hata sababu, ila najihisi hasira mdawote
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajamvi, natafuta second opinion ya daktari mtaalamu wa spinal na back pain Tanzania. Kama wewe ni daktari au unamfaham daktari au una experience na huu ugonjwa nahitaji contact na ushauri...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…