Naomba kujulishwa kuhusu hili. Ninapata maumivu makali sana ya tumbo, kiuno na miguu wakati wa hedhi na nisipokunywa dawa maumivu haya hunisababishia kutapika sana kila ninachokula na hata kuzimia...
AZOOSPERMIA-means no sperm count/is a condition where no sperm present in semen OR is lack of in the ejaculate.Cause;there is aproblem with sperm production.There are blockage such that sperm...
Kifaa cha kupimia joto la mwili wa binadamu kijulikanacho kama "thermometer", hakiwezi kua kienezi cha baadhi ya magonjwa ya binadamu?..mf: magonjwa ya ngozi na mengineyo kama hayo, kwa sababu...
Nini Chanzo Cha Tatizo? Anakojoa Mkojo Kisha Inafuata Dumu Tupu Mzito,maumivu Anayapata Chini Ya Uume Anapomariza Kukojoa Damu,mkojo,haja Ndogo Na Damu Alipimwa Tmj Hosp Havijaonesha Tatizo...
Wadau mimi nina tatzo la kujisikia kichef chef, nalegea na moyo kwenda mbio mara kwa mara.. nimepima vipimo vyote cna tatzo lolote!!! Sasa hiv takriban miez mi3 mfululizo nateka sn... plz naomben...
habari zenu wakubwa naombeni ufafanuzi kuhusiana na tatizo hili kwamba mgonjwa huanguka na kupoteza fahamu mara kwa mara pasipo kupata dalili zozote kama kuumwa kichwa sana au kizunguzungu kabla...
Habari za mida wakubwa, kuna rafiki yangu meno yake ya mbele yamepasuka/yameoza, hivi kuna uwezekano wa kuyajaza au magego tu ndo huwa yanajazwa? Naomba kujuzwa...
Kuongezeka uzito wa mwili imekuwa ni tatizo kubwa linalokabili jamii. Nimeonelea kuunda group whatsapp ambalo tutakuwa tunajadili na kupeana motivational na tips mbalimbali za kupungua. Na mm pia...
With due respect, nawasalimu wote katika jina la Bwana. Likewise kwa ndugu zangu wa kiislamu, Asalaam Alleykum.
Ever since the existence of HIV/AIDS in our lovely planet, there are some concerns...
habari zenu wakuu...
*Naombeni msaada ngozi yangu ina mabakamabaka nahisi ni kutokana kupigwa na jua sana.
*Je ni njia gani naweza kuyatoa au cream gani nitumie.!?
Amani kwenu
Wakuu nipo kwenye taasisi moja kama mganga, kuna ongezeko kubwa la mabinti wanaokuja kuripoti na huu ugonjwa wa kucheza cheza miguu mara tu wanaposimama, wakikaa hakuna shida.
Kuna wavulana pia...
je una tatizo la nguvu za kiume au kike... kuna suluhisho
MULTI MACA... NI Viruubisho vilivyotengenezwa kwa mfuo wa vdonge
ni vinafanya kazi kwa haraka na matoko mazuri na imetibitishwa na...
Ndugu zangu sijajua tatizo ni nini ila nina zaidi ya wiki tatu hapa sina hamu ya kufanya mapenzi.
Ila kuna wiki mojawapo katika hizo tatu nilikuwa natumia dawa za typhoid.
Wiki imeisha tangu...
. Leo pia tutaendelea kuyajadili magonjwa ya zinaa ambapo tutazungumzia ugonjwa wa Trichomaniasis, ambao huwaathiri sana wanawake kuliko wanaume. I.
Ugonjwa wa Trichomoniasis ni ugonjwa...
Nimeumwa na kichwa mpaka nikadondoka. Kucheck nikakutwa na vp ya 170/120. Nikapewa dawa ya kushusha lakini kesho yake nikapima 199/128. Nikabadilishiwa dawa, Leo nimepima 175/113. Mbali na ile ya...