habari zenu wanajamvi haswa wa jukwaa hili husika nilikuwa naomba nijulishwe juu ya hii mistari au michuruzi matakoni kwamba inasababishwa na nini na je inamadhara yoyote????
uwanja wenu jamani
Salaam wana JF.
Poleni na majukumu kama kichwa cha uzi kinavyo someka.
Nina mtoto mwenye umri wa mwaka na miezi minne hapati usingizi ikifika saa nne za usiku ndio michezo inazidi na anataka...
​ ​
KWA UFUPI
Dhana hii potofu imesababisha wazazi wengi kuwapiga marufuku watoto wao kutumia wakidhani ndiyo chanzo kikuu. Leo nitaelezea ugonjwa huo wa mafindofindo ama kwa...
Tunafanya kampeni ya kupambana na vipodozi vyenye sumu kwa sababu tatizo ni kubwa nchini.Hadi sasa asilimia 52 ya Watanzania hutumia mkorogo. matokeo yake wengi wameathirika na wanashindwa...
Habari wapendwa!
Hili tatizo la kutetemeka wakati ninapowasiliana na wengine sijui litaisha lini.
Maana ni aibu sana nashindwa kuwasilisha hoja zangu makini sababu ya kutetemeka.
Pumzi...
Na Damas Makangale, Moblog kwa Msaada wa MtandaoMsichana Jacqui Beck (19) ni mtoto wa kike ambaye amezaliwa bila kiungo muhimu cha Mwanamke (Uke) na hawezi kufanya ngono au kupata Watoto kutokana...
kwa mtalaam yeyote wa afya . .ninatatizo baada yakumeza dawa ya allerg ili kupungua macho kuwasha na vipele ila chakushangaza . .macho yamepungua kuwasha ila kuna pimples zlitokoe huwa haziishi...
Hili tatizo limeanza kunitokea siku hizi, yani nikimaliza goli la kwanza basi goli la pili nitakaa sana mpaka uume usimame, sasa nikiwa katikati ya goli la pili uume unasinyaa kabsa,na pia goli la...
Siku moja mtoto wangu wakike mwenye miezi 7 alipoamka kutoka usingizini alianza kulia mara baada ya muda machozi yalimwingia masikioni kwani alikuwa amelalia mgongo na dada wa kazi alichelewa...
ni kijana wa miaka 21 nasumbuliwa na chunusi flani kama vijipu uchungu kwa sabu vinatoa usaha na damu mwshoni pleaz wakubwa naombeni msada nfanyeje?hasa maeneo ya puani na chni ya mdomo au kidevuni
Baada ya kufanya ngono isiyo salama kwa miezi takribani isiyopungua sita huko nyuma, mwili ulianza kutokuwa katika hali yake ya kawaida, nimekuwa na homa za mara kwa mara miezi yote hyo, kichwa...
Heshima kwenu wakuu..
Ndugu zangu kuna Dada yangu juzi ameenda hospitali kufanya vipimo, baada ya vipimo amegundulika kuwa ana Uvimbe katika ovari kwani alianza kudai kuwa anasikia maumivu upande...
Habari zenu!
Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?
Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe...
To this date, only one person is thought to have been cured of HIV - the "Berlin patient" Timothy Ray Brown. But no one is exactly sure which aspect of Brown's treatment may have cured him...