habari madocta nina maswali mawili nataka kuwaulizaa
1. ivi ni inachukua mda gani kujigundua kama wewe umeathirika utaona dalili zipi
2. na ukifanya mapenzi na mwanaume ukiwa siku za hatari za...
HI ALL,
Sisi wakatoliki kabla ya kwenda kanisani huwa tunapewa angalau kwa ufupi semina ya siku mbili na baada ya hapo huwa tunashauriwa kuhudhuria semina zozote zile zinazo...
Kwa wataalamu, kama mwanaume ni rijali na hormose zake zipo sawa ila tatizo tu ni kiwanda kimesimamisha uzalishaji wa mbegu za kiume nini tiba yake? utaamshaje kiwanda kianze kazi tena.
Historia...
Kuna wakorea ambao wanatibu maradhi mengi sana kwa kutumia mazoezi pamoja na mashine za umeme hapo mwenge karibu na ITV mama yangu anaenda huko kila siku.
Hua namsikiliza kwa makini sana kuhusu...
Hapa mjini tarime mkoani mara kuna kituo kimoja kinachojishugulisha na huduma za maabara kipo hapa mjini kati. swali langu kwenu wadau wa afya ni hili nilienda kupima malaria utakuta kuna...
Ni takrribani miaka 7 ilipopita nlipoanza kujichua almaarufu kama "Punyeto" mpaka sasa sioni dalili za kuachana na hili janga. Naombeni ushauri wana JF.
Source: Kumi Muhimu Blog.
1.Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora!
2.Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa...
Hi jf
ndugu yangu mpnz wake ni mjamzito, leo ameenda clinic wamemchukua HIV test akambiwa hana maambukizi na pia VDRL (test for syphilis) akakuta, Kwenye card ya clinic kandikiwa PMTCT 2, VDRL...
wasalaam
Mimi ni binti ambaye nina ndevu kidevuni na nimeomba ushauri ushauri jinsi ya kuzuia na kuondoa kabisa ndevu kuota nimeambiwa nitafute damu ya chura kisha nipake damu hiyo kidevuni baada...
hernia na ni moja ya vijana wanaopanda mlima kilimanjaro, nimekutana nae akaniomba ushauri kwani kuna wangine wanamwambia ana hatari ya kifo,wengine anadai walifikia hatua ya kutaka aachane na...
habari zenu wana JF
jaman wenye uzoefu naomba mnisaidie mtoto wangu wa miezi tisa yeye anapenda maziwa tu ukimpa vyakula vingine hataki hata kidogo anajitapisha chote naombeni msaada maana maziwa...
Wakuu za mchana mwema. Pua yangu imekua inakauka mda mrefu sasa. Yaan inatoa magamba juu ya ngozi na nikiwa na mafua ndio kabisaa. Naomba kujuzwa dawa gan nitumie kwa ambao wana uwelewa wa jambo hili.
Week nzima nimekuwa nalala saa 10 asubuhi, na mchana nakuwa fit sina usingizi.
Naombeni mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo langu anipe msaada.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Habari za ahsubuhi ndugu wa jf naomba msaada jamani,mama yangu ni diabetic mellitus kwa mkaka 12 sasa na kwa sasa amepata Eyes problems yaani Haoni mbele also Ana high blood pressure ina range...
This question was asked by Jaluo_Nyeupe in another thread. It worth posting as a new thread...!
Male Circumcision (MC) [Tohara kwa Wanaume], and when is is performed to the young male infants it...
Watafiti wakitoa sampuli za damu kutoka kwa sokwe mtu katika utafiti wa Ukimwi huko Gabon. Picha ya Mtandao
KWA UFUPI
Utafiti mpya waonyesha uwezo mkubwa wa kuangamiza kirusi, kukiua na...