Toka jana mtoto wangu wa miaka 2 na nusu ameonesha dalili ya malaria na kupima ikaonekana ana malaria 3. Huwa hata sijui hii namba ina maanisha nini..anyway!
Tatizo ni kuwa majira ya saa8 hii...
msaada..kila ninapokula nyama kwa wingi lazima tumbo livuruge..iwe ya ng'ombe,mbuzi ama kuku,bata lazima nitaharisha ila nikila kama vipande viwil ama vitatu siharishi...je nitakuwa na tatizo gani...
Married Chinese man suffering from stomach ache goes to the doctor and learns he is actually a female
The man went to his doctor in China complaining of severe stomach ache
Doctors discovered a...
Heart Attacks And Hot Water
A very good article which takes two minutes to read. I'm sending this to persons I care about........I hope you do too!!!
Heart Attacks And Drinking Warm Water...
JANGA LA KITAIFA WAZEE KWA VIJANA
******************
💥ERECTILE DYSFUNCTION (ED)/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....
💥SABABU
*Kuna sababu nyingi hupelekea tatizo...
Mi ni mwanaume miaka 35 naomben ushaur mke wangu kila akibeba mimba znatoka ni mara 4 ss zimetoka na kuhatarisha maisha yake. Ila pia hata nikimpa mimba mwanamke mwingine nazo znatoka tu ni zaid...
Nimepata kusikia kwa watu mbalimbali kwamba mkojo wako wa asubuhi eti ni dawa? Na wanadai kwamba ni mkojo wa asb kable hujakojoa. Unakojoa kidogo then unaofuata unakinga kama glass moja unakunywa...
Wanajamvi, poleni kwa majukumu.Kuna mtoto wa kiume wa shemeji yangu mwenye umri wa miaka minne na ushei,ana tabia ya kunusa nepi iliyotumika(yaani si mpya) ili aweze kupata usingizi.
Usiku...
JANGA LA KITAIFA WAZEE KWA VIJANA
ERECTILE DYSFUNCTION (ED)/ UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME....
SABABU
*Kuna sababu nyingi hupelekea tatizo hilo kwa wanaume ikiwemo:-
-Aina ya vyakula( junk food na...
Man: My penis was mistakenly amputated - CNN.com Video
hospitali yenyewe
Princeton Baptist Medical Center
A man by the name Banks and his wife filed the lawsuit this week against Drs. Vincent...
JOB OPPORTUNITIES
ALLIANCE MEDICAL CENTER ANNOUNCES THE FOLLOWING FULL TIME JOB VACANCIES:
FLUENT IN ENGLISH SPEAKING
GENERAL PRACTITIONER (MD); 1 Post
Holder of Doctor of medicine degree (MD) or...
HURUMA!!! Usishuke chini bila kushare, kulike na comment neno AMEN au AMINA ili ndugu na jamaa waweze kumsaidia mtoto huyu!!
Ndugu watanzania wenzangu naomba kuungana nanyi kwa hali na mali...
JOB OPPORTUNITIES
ALLIANCE MEDICAL CENTER ANNOUNCES THE FOLLOWING FULL TIME JOB VACANCIES:
FLUENT IN ENGLISH SPEAKING
GENERAL PRACTITIONER (MD); 1 Post
Holder of Doctor of medicine degree (MD) or...
OMEGA 3 SALMOIN OIL PLUS
******************
WHY omega 3 salmon oil?!
*Binadamu huitaji kiwango kidogo tu cha mafuta ila wengi wetu hula zaidi. Tunahitaji 1g tu ya mafuta kwa siku ila wengine...
Habari Za Asubuhi.
Nina Mdogo Wangu Ana Uvimbe Mkubwa Kwenye Paja Kwa Juu Karibia Na Makende. Uvimbe Huu Hua Unajirudia Rudia Ameshafanyiwa Operation Mara 2 Lakin Baada Ya Muda Kama Miez 3 Na...
Leo nimeambiwa na daktari Kuwa sina damu ya kutosha wakati Mimi ninajiona niko sawa Kabisa; je tatizo linaweza Kuwa ni nini? Ninaomba ufafanuzi wa kitaalamu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tohara kwa jinsia ya kiume ina faida zifuatazo kiafya
Inarahisisha kusafisha uume
Inapunguza uwewezekano wa kupata maambukizi ya njia ya mkojo
Inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa...
Mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Mr. Chen, mwanandoa mwenye umri wa miaka 44 na mkazi wa Zhejiang, nchini China, amegundulika kuwa alikuwa katika siku zake kama inavyokuwa kwa wanawake kwa...
Habari wa jukwaa letu la JF doctors?
Jamani nimekata tamaa ya kupona macho, nimetembea kwenye hospital nyingi tu naambiwa hawaoni tatizo wananipa tu ushauri wa kula vyakula na matunda na pia...