Wabongo wenzangu ambao mmeoa ngozi nyeupe labda mtakuwa mmekutana na tatizo hili pia. Mimi na mwenzangu tumejaaliwa kumpata mtoto wa kiume lakini naona sasa kuna clash ya culture hapa kwa kuwa...
Habari zenu wana wa JF,
Nahitaji kujua ni hosipitali gani sahihi kwa huduma ya kutahiri hapa Dar.
Nahitaji mwanangu apate huduma hii nikiwa na imani kwamba watoa huduma sio makanjanja...
Habari wana Jamii!
Kwa kawaida watoto wadogo ni wepesi wa kupata usingizi baada ya matukio fulani mf. baada ya kunywa uji, wengine hupata usingizi baada kulia, wengine baada ya kubebwa tu, n.k...
Habari Jf doctor...Naombeni Masada katika hili.Nina mama mkwe wangu analalamika sana kupata maumivu ya moyo yani moyo unamuuma. Naomba kujua sababu na namna ya kulikabili tatizo hili.
My best friend kabisa ameniambia he had a sex with a bitch juzi kati hiv. Sasa condom ikapasuka na wali do kama 30 or 40 seconds hiv. Then akaenda toilet akajisafisha and akasema aka urinate pia...
WanaJF nina tatizo linanikabili sijui kama na wenzangu mnalo,nimekuwa siko free na nashindwa kujiachia kulala na mpenzi wangu mpaka asubuhi kwasababu naogopa nikijamba usiku atanielewaje,nakosa...
VEMMA NI BIDHAA 5 NDANI YA CHUPA 1
V= Vitamini aina 12
E= Essential
M= Minerals aina 65
M= Mangostee - tunda Gacinia mangostana A= Alovera + Chai ya kijani (green tee)
Hapa...
Wana-jamiiforums naombeni mtoe mawazo yenu.
Kuna mwanaume ameoa na ni baba ana watoto kadhaa,ila hafanyi tendo la ndoa na mkewe hata kwa mwezi inakuwa mara moja tu au mbili,ila kila siku...
Habari wadau,
kwa siku 10 zilizopita nimekuwa nikijisikia mwili mzito na mara nyingi naskia mapigo ya moyo kama yanashtuka kila mra.Ni kweli nina uzito mkubwa,najitahid kufanya diet na mazoezi...
KIJANA "ANG'OLEWA" MENO 232
Madaktari nchini India wametoa meno 232 kutoka katika mdomo wa kijana mwenye umri wa miaka 17, katika upasuaji uliochukua saa saba.
Kijana huyo Ashik Gavai...
Habari zenu!
Tokea nianze kufanya mapenzi ni mara yangu ya sita sasa, lakini kadri siku zikisogea sioni uafadhali katika tendo. Huwa nasikia maumivu makali pale mboo iingiapo, maumivu ya kama...
Naomba kufahamishwa kama niko na tatizo au hali hii hutokea kwa wanaume wote, nikiwa na mpenzi wangu tukiwa tunafanya oral sex huwa natokwa na maji maji kwenye uume wangu yaaani kama nimevaa boxer...
Wanajamii naombeni msaada. Mimi ni mwanamke wa makamo. Nina tumbo kubwa (Kitambi) hivi kuna mtu ametumia Clean 9 na imemsaidia? Naomba anijuze ili nami niweze kuitumia.
Natumai hamjambo wandugu,
Kabla ya Bunge la Bajeti kuanza, kuliibuka khabari za huu ugonjwa wa Dengu, lakini sasa imekuwa kimyaaaaaaa,
Ukimya huu unaashiria nini?
Updates tafadhari.
Habarini wana JF, mwezenu hivi karibuni nilipatwa na tatizo kiafya, nilikuwa napata maumivu wakati wa kukojoa, usaha ulikuwa unatoka kwenye uume nikaenda zahanati nikawaambia tatizo langu wakanipa...
Ana week 1 na siku 6 , anabanwa sana na mafua hadi inamuwia vigumu kupumua, nilipompeleka hospitali niliambiwa nimpe Ampiclox na otrivine (gouttes nasales). Amemaliza dozi lakini bado, inaonekana...
BREAST SUCKING REDUCES BREAST CANCER
This message is from the Ministry of Health in the Fight Against Breast Cancer."
"A BBC report suggesting that breast sucking by men and women can reduce...