Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo nahitaji msaada wa ushauri na ufafanuzi.
Nina ujauzto wa wikin35. But nilipofikisha wiki 20 nilianza kupata vaginal bleeding, nilipoenda hospital nilifanyiwa...
Jaman waungwana habari zenu, polen na majukumu, naomba msaada piah ushauri kwa mwenye knwoledge kuhusu tatizo la kukojoa mara kwa mara haipiti dakika tano, na inapotokea hali hyo huahakuna jinsi...
Taarifa zilizopatikana kutoka wizarani zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa 150 na 200 husafirishwa na Serikali kwenda nchini India, ambako kuna uhakika wa matibabu, kila mwaka. Idadi hii haijumushi...
Habari zenu wote, wakubwa shkamooni. Hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, na nimelazimika kufanya hivyo kwa tatizo linalonikabili.
Mwenyezi Mungu kanijaalia mtoto wiki moja...
Ugonjwa wa mafua huonekana wa kawaida, usio na madhara makubwa, lakini una athari za kiafya na karaha nyingi.
Mafua yanaweza kuwa moja ya sababu kubwa inayofanya watu wengi kushindwa kwenda...
Habari zenu JF Doctors.,
Jamani mi nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la macho kuwasha na kutoa machozi kila niuguapo mafua. Nashindwa kuelewa hii connection, why kila nikiugua mafua lazima na...
Wakuu nimekuwa nikijiuliza hivi ujauzito kihalisia ni miezi mingapi? Ni tisa au (kwa maana ya wiki 36) au zaidi ya hapo?? Je ilifika wiki ya 40 ni sawa au kuna tatizo labda?? Naulizq hivyo manake...
Habarini ndugu zangu,
Jukwaa hili ni mara yangu ya kwanza kuposti uzi huu. Sijawahi kuandika zaidi ya kusoma tu yanayoandikwa. Leo nimeona nije hapa niweke wazi huu ugonjwa unaonisumbua kwa mwezi...
Waungwana baba yangu, baba yenu wengi wenu ni babu yenu mida hii ya saa kumi kaingizwa chumba cha upasuaji hapa hospitali ya Namanga Tegeta.
Nakuombeni sana dua zenu atoke salama ili hatimae...
Imekuwa ni kawaida kwa madaktari wetu kukupa tiba na njia mbalimbali za kukuwezesha kupona ugonjwa
unaokusumbua..Kwa kweli tunawashukuru kwa hilo....Swali langu ni je...! tatizo lipo wapi kwa...
Habari za kazi Ndugu zangu!!
Kwa wale wote wanaosumbuliwa au kama una ndugu jamaa au rafiki anasumbuliwa na magonjwa Tajwa hapo juu (SIKOCEL & KISUKARI NA KUONGEZA CD4) napenda kuwaambia kuwa...
Kichwa cha Habari chahusika.
Nikiweka simu sikioni kuongea hatakama ni kwa dakika 2 tu Kichwa kinauma sana na mpaka sikio linauma. Yapata wiki sasa tangu nianze kupata hili tatizo.
Zamani...