Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni kujua dawa za asili za kutumia ili kuzuia ujauzito
1 Reactions
59 Replies
47K Views
Jamani JF doctor dawa ya kuondoa vile vipele wakati wa kushave ni ipi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu wana JF, Madaktairi naomba msaada wenu wa tatizo langu la masikio kuziba na kuachia hasa napopatwa na mafua pia usiku, yana toa sauti kama ngoma iliyopigwa. Nilipewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote anayemjua Daktari mzuri anayeweza kutibu matatizo ya msuli kuvimba, kuna ndugu yangu anatatizo la kuvimba msuli wa paja kwa nyuma umevimba na una muuma sana ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati wa ujauzito mwili hutengeneza asilimia 50 zaidi ya damu na maji maji ili kumtosheleza mama na mtoto. Kuvimba kwa mwili wa mama ni kitu cha kawaida kwa ajili ya kuongezeka kwa damu mwilini...
1 Reactions
0 Replies
14K Views
VIASHIRIA VYA HATARI KWA MWANAMKE MJAMZITO. Hivi ni viashiria au dalili ambazo akiwa navyo mjamzito ni hatari kwake na kwa mtoto.Kwani huenda vikasabisha kifo kwa mama au mtoto au wote wawili...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mambo wana JF Doctor, Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji njia ya haja kubwa yenye harufu kama mavi, kama alivyonielezea nikashindwa kumpa ushauri na badala yake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JF Doctor, madaktari na wanaJF concerned, kuna mtoto aged 7 or 8 amekuwa anatokwa na haja kubwa kiasi kidogo lakini bila kujijua. Ameisha pelekwa kwa madaktari mara kadhaa, amechukuliwa vipimo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Please kila siku ya mungu lazima nijiwashwe tena hata mara 100 alfu navimba hivi tatizo ni nini jamani naombeni mnisaidie.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu wadai ni chanzo kikubwa ongezeko la saratani Ulaji wa kuku wa kisasa au broila' umeelezwa na wataalamu kuwa...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari zenu madaktari wa JF, natumai mmeamka salama kabisa. Tatizo langu ni hivi, nimekua mtumiaji wa chumvi sana yani kila chakula ntachokula basi lazima niongeze chumvi mbichi, mf. ugali na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Jamani naombeni msaada kuhusu ugonjwa wa athma,chanzo chake ni nini na je mtu akiugua anaweza kupona.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ma-Dr. Nina mtoto wa kike ana miezi mitano ila kila akikalishwa huwa hawezi kaa. Naomba mnijuze mtoto inabidi aanze kukaa akiwa na umri gani, na kama ndani ya umri huo hajaanza kukaa tatizo...
1 Reactions
33 Replies
22K Views
Kwa ajili ya kupata mzuka kidogo na kupata usingizi haraka huwa natumia bia 2 hadi 4. Kulingana na gharama nafikiria kuwa nachanganya Dompo na konyagi kidogo. Kiafya imekaaje wadau?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Heshima yenu wanajukwaa, ninahisi nina tatizo, naomba ushauri wenu. usiku wa kuamkia leo nilipatwa na wet dream, asubuhi kulivyokucha wakati niko bafuni nimekuta semen zilizochanganyika na damu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Heshima kwenu wataalam Mungu ni mwema ametupatia kijana mwingine ana miezi mitatu amezaliwa kwa OP ila anatatizo 1 kama mafua hivi anapatashida sana hasa wakati wakunyonya. Wengine wanasema labda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii apa hii, sio maneno yangu wenyewe wamesema.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kulingana na maelezo ya shirika la afya duniani mama mwenye virusi vya ukimwi kwa nchi zilizo endelea na zenye upatikanaji mzuri wa maji safi na salama anashauriwa kutomnyonyesha mtoto ili...
0 Reactions
8 Replies
23K Views
Nimefanya unsafe sex last Saturday 14th June, nataka nipime VVU. Je kwa Dar huduma hizi naweza pata wapi. Asanteni wakuu.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za asubuhi, natumaini mambo yanaenda sawa. Mimi nina tatizo la kushikwa na vichomi mara baada ya kufanya mapenzi na mara nyingine kwa ajili ya baridi, hasa maeneo ya tumboni, mbavuni na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…