Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wadau, Naomba ushauri wa jinsi ya kumsaidia mtu anayetumia ugoro ili aweze kuacha. Asante
0 Reactions
6 Replies
21K Views
Wakuu habarini za majukumu? Naomba kwa wataalamu nijuzwe hili, mke wangu ametoka kujifungua miezi miwili na nusu iliyopita kwa operation, Thanks God alijifungua salama. Sasa issue ni kwamba...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana Jf, Hivi mtu anaweza kuona dalili za mimba ndani ya wiki moja.
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Habari Wakuu Nimekua na mpenzi wangu amekua akitokwa na damu mara kwa mara pale tunapoanza tu ku du..! Tumejaribu kutafta ushauri kwa madockta wametuambia labda ni kinga za uzazi alizokua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu. Nimekunywa hicho kinywaji kumbe kimeshapita muda wa matumizi sasa tumbo linaniuma na ninaharisha naogopa kunywa flajiri nifanyeje wakuu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau,jamani naumwa na tumbo sana tena chini ya kitovu, Linavyouma ni kama nataka kubleed then linakata sana,lilianza jumamosi tarehe 14 ambapo nilitokwa na ute mwingi mpaka leo tarehe 17 ndo...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari wakuu? Nimekuwa nikijiuliza kwa muda sasa, hivi nini chanzo cha mtu mzima kutafuna ulimi kama atafunavyo jojo ? Maana kuna jamaa yangu wa karibu sana huwa namuona akifanya hivyo hasa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wana JF naomba kuelekezwa. Eti ni kweli miswaki inabeba bacteria wakati tunavyoweka / kutunza miswaki yetu kwenye mabafu au kwenye choo (sehemu tunazoogea au kujisaidia). Kwamba tukishamaliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF, nakuja kwenu rasmi kuomba msaada wa mawazo na ushauri. Mimi nimetokea kumpenda dada mmoja mrembo kabisa na ana kila sifa ya mwanamke bora. Yupo smart, intelligent na very...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naombeni ushauri sijui nini kinanisumbua sasa hivi nina zaidi ya miezi kadhaa ninasumbuliwa na tatizo la kusikia ndani ya kifua kama moto unaniunguza na mara nyingine sehemu za mkono. Kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa, hivi inakuwaje baadhi ya wanaume wana uume mfupi (kibamia). Je wanaweza kubebesha mimba? Uume kuwa mdogo haisababishi wewe kuto m-bebesha mwanamke mimba. kuna sababu zingine...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Huwa anatokewa na uvimbe mwilini alafu yanavimba yanakua mekundu kama mtu aliyeumwa na mende yanamuuma sana jamani, msaada.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni msaada mke wangu ananyonyesha (ana mtoto mdogo) katika cheza cheza yetu alikosea kuhesabu siku zake leo ni siku ya 5, bilabila hajaona siku zake ikabidi niingie dukani kununua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa,ninatatizo,ni mwezi wa nne sasa najaribu kumpa mke wangu mimba bila mafanikio,siku zake za mwezi ni 28 ila kuna wakati zinabadilika na kuwa 32,sijui nifanyeje?
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Wakati mwezi mtukufu wa Ramadhan unanukia, nimeikuta hii "article" ya Kisayansi inayohusina na kufunga. Fasting triggers stem cell regeneration of damaged, old immune system Date: June 5...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Wakuu msaada wenu please nina matatizo ya joint za kiuno zinasumbua sana kunakuwa na kama msuguano hasa upande wa kulia na hii imenianza baada ya kumaliza dozi ya sindano za kwinini. Sijui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mapenzi Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa kufahamu tiba halisi ya maradhi hayo hatari. Takwimu kutoka...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ni ushari unaotolewa katika mahospitali yetu lakini kuna dr Bingwa mmoja nilimsikia kwa masikio yangu akipinga suala hili la kutowapa maji watoto akidai marufuku. Hiyo ililetwa kwa vile...
0 Reactions
3 Replies
26K Views
For most people, learning how to overcome depression and anxiety is a simple process. And since antidepressants are the most prescribed drug in the U.S., knowing how to overcome depression...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…