Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habarini waungwana, Mimi kila siku ikifikia saa kumi jioni kichwa kinaniuma sana nimemeza paracetamol hadi sasa nimechoka. Naomba niambiwe tatizo hili linasababishwa na nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimewahi vuta Bangi mara moja....Kumbe haina madhara??? Tuvuteni bangi wana Jf Kwako MziziMkavu umeona sasa hapo vifo vya sigara na alcohol. ======================== Bangi (pia: bhang, bhangi...
10 Reactions
32 Replies
15K Views
Mahusiano ya hali ya Utumbo mpana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza ama NONCOMMUNICABLE DISEASES au LIFESTYLE DISEASES. Communicable diseases like malaria, cholera and polio have become manageable...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Prostate anlargement ni ugonjwa unaosumbua sana watu wengi. Pale maambukizi ya bacteria yanapofika kwenye tezi husababisha uvimbe. Uvimbe huo hugandamiza njia ya mko(urethra). Njia ya mkojo...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Wakuu tafadhali anaejua hiyo lugha ya kitabibu kwa hiyo kolam ya AINA YA CHANJO anisaidie tafadhali sana Cc: MziziMkavu miss Nedy Lady doctor King'ast Ndugu Jerry, 1. BCG or...
2 Reactions
13 Replies
7K Views
Naombeni ushauri jamani, ili niweze kumweka sawa na kumwondolea hofu mke wangu ambae hajapata elimu ya kutosha kwenye maswala hayo kwa sababu ameanza kusumbuliwa na kizunguzungu pamoja na kutapika...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Hi JF, Kuna rafiki yangu ameniuliza kwamba mke wake ameanza period tarehe hiyo hapo juu, je ni kati ya tarehe hipi akikutana nae anaweza akapata mimba? Wana mwaka mzima kwenye ndoa bila mtoto...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days. 2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa...
0 Reactions
6 Replies
27K Views
Habari zenu wana jamiiforums. Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti...
0 Reactions
57 Replies
16K Views
Mimi ni kijana mvulana umri wangu miaka 22, kusema ukweli huwa sijiamini nahisi nina maumbile madogo sana, kama nchi tano hivi ikiwa imesimama na ikiwa imesinyaa ni ndogo mno kama inch 2. So...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie nifanye nini ili chuchu zisiume. nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
KWA UFUPI Meneja wa Mradi wa Kuboresha Ng'ombe wa Maziwa Afrika ya Mashariki (EADD II), Mark Txoso alisema hayo alipoutambulisha mradi huo utakaotekelezwa katika halmashauri tisa za mikoa ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam kwenu madokta, samahani naomba mnifahamishe maana nimetumia lotion nyingi lakin hazina msaada kwake bado viganja vyake ni vigumu kama unyayo wa askari wa wanyama pori. Havileti stimu...
0 Reactions
26 Replies
19K Views
Nawatakieni kheri ya shughuli zenu zote za ujengaji wa taifa letu pendwa, Pili naomba kujuzwa eti mwanamke anaweza kutolewa bikra bila ya kutoka damu? Lakini huwa na skia maumivu makali...
0 Reactions
6 Replies
16K Views
Ninaomba uushuhuda wa mtu kuponya na kati ya madawa ya kienyeji versus ya hospitali. Kumekuwepo na debate muda mrefu kuhusu effectiveness kati ya madawa ya mitishamba na madawa ya hospitali katika...
2 Reactions
18 Replies
9K Views
Jamani msaada mwanangu anaumwa mafua hata week mbili hajafikisha,wataalamu mnanishauri nini?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nilihitaji kumwona huyu Dr. Prof. Matuja kwa ajili ya matibabu ya nerve. Kuna mtu katuambia kuwa ni mzuri na yupo MNH na pia ana kliniki yake hapo DSM. Mimi kwa sasa niko mkoani...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
Ni jioni tu,nikipma malaria wananambia ninayo sehemu nyngne wananambia sina. Dawa gani ya kienyeji itanisaidia?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna madhara yoyote kwa mtu kulala sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jf, Naomba kujuzwa na ma Dr. wa jukwaa letu hili kua inachukua muda gani mwanamke kupata mimba baada ya kujifungua? Kifupi mi na mke wangu tuna watoto wa miezi mitano na nusu ila...
0 Reactions
4 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…