Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Jamani nina umri usiopungua miaka 25 ila kwakuwa sijielewielewi (kunadalili tofauti za magonjwa ya zinaa katika mwili wangu kwa mda mrefu) na niliwahi kujaribu kupima magonjwa matatu tu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau! Napenda kufahamishwa ni nini hasa sababu ya maumivu ya kitovu kwa mwanamke mjamzito aliye wiki ya 28?
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza,naombeni tiba asili ya tatizo la nimonia waungwana.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuchelewa kuzaa kuna matatizo yake. Je unayafahamu? Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo ya afya ya uzazi. Huu sio utafititi tu balo maoni ya daktari mmoja mkuu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nisaidieni home made remedy ya mafua niko taabani!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii.! Wadau samahni kama kuna yeyote anajua dawa inayomsaidia mama mjamzito mwenye dalili za uchungu kuweza kujifungua haraka naomba aniambie. Please!
1 Reactions
24 Replies
92K Views
Wanasayansi wanaamini kuwa unywaji mwingi wa pombe unaweza kuleta hisia zisizo za kawaida mwilini ambazo zinaweza kuiweka ngozi katika hatari zaidi ya kupata Saratani ya ngozi. Kemikali ya Ethanol...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zanguni ninaomba anayefahamu kuhusu matibabu ya mifupa iliyovunjika asaidie hapa: 1. Je kuna dawa ya kuharakisha kujiunga kwa mifupa hasa ya kienyeji. 2. katika hali ya kawaida mifupa...
0 Reactions
16 Replies
17K Views
Habari zenu wana JF. Leo nawaletea mbinu za kumuondoa mdudu aliyeingia sikioni. Kuna baadhi ya wadudu huwa wanapenda kuingia masikioni kama vile mende,chawa,nzi nk. Tunamuondoaje?:Tumia moja kati...
3 Reactions
13 Replies
24K Views
amekwenda hospital hakuna matumain ya kupona dawa katumia ila bado nisaidien katka hili
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Heshima kwenu wote, Mimi na mke wangu hatuna furaha kabisa kutokana maendeleo ya mtoto wetu. Mpaka sasa hivi ana miaka 3 ajabu hawezi kuongea wala kula mwenyewe.Chakula analishwa na anakula...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
rafki yangu kifua kinamuuma upande wa kulia saiz mwaka umeisha shida itakua nini jamani?
0 Reactions
4 Replies
854 Views
Wana jamvi msaada.Napata maumivu makali sana baada ya haja kubwa na huendelea hata baada ya haja. Na huwa choo kinakuwa kigumu sema sio sana ila maumvu yanazdi hadi napata shda kukaa. Sijui tatzo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF... Napenda kuitumia nafasi hii kwa kuondoa ile dhana kwa baadhi ya watu ya kusema Hospitali ya Mirembe ni ya wagonjwa wa akili tu (wengine huwaita vichaa but siyo kabisa) Kama...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina rafiki yangu wa kike tangu nianze nae mahusiano ni miaka miwili imepita siku moja nilimuuliza kuhusu mzunguko wake aliniambia hafahamu kwa kuwa huwa inamtokea bila ya kuwa na fumula. Mfano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchoro wa moyo unaoonyesha madhara ya ghafla yanayoweza kusababisha kifo. KWA UFUPI Matukio ya waliokufa ghafla Tanzania -Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba -Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Hiiti Sillo (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari wakati wa mkutano Dar es Salaam, bidhaa za chakula na vinywaji walizokamata kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWA UFUPI 1.Ushuzi’ hujumuisha asilimia 59 ya gesi ya naitrojeni, asilimia 21 ya haidrojen, ammonia, asilimia 9 ya ukaa au kabonidayoksaidi, asilimia 7 ya methane na asilimia 4 ya oksijeni. 2.Kila...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Naomba mnisaidie ndugu zangu. Tatizo langu ni kuwa kila ninapokuwa nina hamu ya sex badala ya ute vinatoka vitu kama ute uliochanganyika na damu yaan kama period inataka kuanza... Napata shida...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna mdogo wangu mmoja anasoma secondary form four. Huyo dogo alikuwa mpole tu sana alivyokuwa kidato cha pili na anauwezo mzuri sana darasani, ila alipofika form 3 alibadilika, ghafla akawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…