Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Msaada kwa anayejua plz
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tangu jana nikitoa mafua tundu moja inatoa mafua pamoja na damu naombeni mnifahamishe huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Dengue fever or Denge in Swahili is a disease caused by a family of viruses that are transmitted by mosquitoes. It is an acute illness of sudden onset that usually follows a benign course with...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
THE VAGINA IS CLEANER THAN THE MOUTH Yes, the fact is that the vagina is 10 times cleaner than the mouth! It has its own mechanism and self regulatory system that keeps it in check every now and...
0 Reactions
33 Replies
18K Views
Wadau! Hii nimeinyaka pande za barabara ya ali hassan mwinyi karibu kabisa na dar free market. Ipo hivi. Pale karibu na dar free market kuna kitu kama onyesho fulani hivi la mambo ya miwani...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nini husababisha maumivu sehemu za uume? Ameshatembea hospitali nyingi na kupewa dawa ambazo mpaka sasa hazijamsaidia chochote na maumivu bado yapo wakati wote!! any specialist unayemjua...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habarini za asubuhi wapendwa. Mtoto wangu anafikisha miaka miwili mwezi huu, nataka kumwachisha kunyonya ila ni mbishi balaa.Last week nlipaka alovera lkn akanyonya ivoivo, nkajaribu kuweka...
0 Reactions
31 Replies
13K Views
naombeni msaada wa hii tiba inanisumbua...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ujio wa ukoloni umeathiri sana mwenendo mzima wa hali ya afya kwa Waafrika wengi. Mojawapo wa athari za ujio huu ni kupandikizwa katika akili za Waafrika dhana kuwa kila kitu kilicho cha asili ni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari, Hii siku ya tano sasa nikienda kukata gogo kwa choo harufu inayotoka si mchezo, mi mwenyewe nataka kukimbia, utadhani mfereji wa maji machafu. Jamani ni tatizo gani hili!!.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni na majukumu ya leo wakuu. Tatizo langu ni kwamba nikikaa kama wiki moja bila kusex au nikiwa kwenye maandalizi ya kufanya sex halafu ikashindikana napata maumivu makali sana ya kiuno...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je? kutokwa na uchafu mweupe na mzito ukeni mithili ya maziwa mgando kwa mwanamke mjamzito ni jambo la kawaida au ni tatizo? Ushauri wenu please.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari.... Mtoto wangu wa kiume ana miezi 2 toka azaliwe....anasumbuliwa sana na tumbo....wengine wanasema ngiri, wengine wanasena chango....kitovu chake ni kikubwa kiasi (kama golori) lakini...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habarini za jioni wakubwa, nina mwanangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu na nusu. Huyu dogo kiukweli simuelewi naona kama mambo yake ni ya kikekike, mara anabeba midoli mgongoni kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kujua kuwa nini kinachosababisha kuvimba kwa mrija wa korodani na ni madhara gani yanayotokea mara baada ya kuvimba?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nahitaji kuja nini madhara ya dawa aina ya flagil ? :baby:
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuna dada anasumbuliwa na ugonjwa huo unampelekea kuwashwa sana mwili anavimba akijikuna ashapewa dawa hospitali lakini hajapona.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wadau mpo hamjambo? Napenda kuwashirikisha katika tatizo hili linalowapata baadhi ya watu ambapo wakipatwa na jeraha hata dogo basi likipona ngozi inainuka na kuunda ngozi ngumu inayoendelea...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi kunaukweli wowote kuwa vidonge vya uzazi wa mpango vinarekebisha siku za mzunguko wa mwanamke?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, naomba mnisaidie orodha ya vyakula na matunda ambayo nikitumia naweza pata calcium na vitamin D kwa wingi ili niimarishe afya yangu, mimi ni mja mzito na ni miezi mitatu sasa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…