Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa.
Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jioni napotaka kulala na asubuhi kila...
Kwa mujibu wa mtandao wa www.organicfacts.net uyoga una vitamini na aina nyingi za madini.Baadhi ya virutubisho vilivyothibitishwa kuwemo
kwenye uyoga ni pamoja na Vitamini B2, B3, B5, B6, B...
Kwanza napenda kuwapongeza wana JF kwa roho safi ya kutoa msaada pasipo shuruti yoyote hile.
Mimi nina shida ya kupata mtoto nimetembea na wasichana tofauti pasipo hata kusingiziwa mimba,lakini...
Coke is the most valuable brand in history, and "Coca-Cola" is the world's second-most recognized word after "hello." However, the beverage itself is an absolute poison to the human metabolism...
The benefits of using iodized salt are numerous, as the whole body depends on these two minerals in order to function properly:
Improved Thyroid Function
Your body needs iodine for the thyroid...
Unaweza kuwa na malengo na mipango mikubwa kwenye maisha yako. Ila kama afya yako haitokuwa nzuri ni vigumu sana kufika unakotarajia kufika. Hata kama unapenda kuwasaidia watu kwa kiasi gani...
HATARI YA UNENE:
MOJA ya hatari inayowakabili watu duniani ni unene (au kuwa na kitambi au kuwa na uzito mkubwa). Janga hili linawakabili wakubwa kwa watoto.
Unene, kitambi au uzito mkubwa ni...
wanajamvi naomba kujuzwa, je kuna uwezekano mwanamke akapata ujauzito baada ya kutolewa mfuko wa uzazi? taaluma ya testtube babies ikoje? naomba kujuzwa tafadhali.
Msaada tafadhali toka nijifungua sasa ni miezi saba nilijifungua kwa operation, hivyo mazoezi ilikuwa ngumu kuanza kutokana na mshono, nilikuwa nataka kujua ni muda gani muafaka wa kufanya mazoezi...
Wana JF doctor naleta mada kwenu. Je frequency ejaculation inaweza kusababisha mtu kutopata mtoto kwa haraka.?
Yaani mtu anapofanya sex mara kwa mara may be kila baada ya siku 3 au 4
Hebu...
Habari zenu nyote kwa pamoja,
Hope mmeamka salama na mnaendelea na shuhuli za kutafuta ridhiki kama si kulijenga taifa na kuleta maendeleo.
Nina shida moja ambayo ningependa niiongelee hapa na...