Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua.
Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mtindo mbaya wa maisha na kula vyakula visivyofaa, inachangia kwa kiasi kikubwa watu kuzeeka mapema.
Profesa...
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama...
Kuna kijana umri ni 35, anajiweza ana kazi nzuri tuna unasaba nae, leo kaniambia kuwa ana uume mdogo, kiasi anapata hofu kujamiiana na mwanamke.
Sasa kaniomba ushauri kama kuna dokta ambae...
Habari zenu wakuu,
Naomba msaada, nimekuwa nikisumbuliwa na vipele vidogo vidogo katika uume wangu kwa mda ila nilikuwa napata matibabu ya kawaida tu.
Sasa mwezi uliopita hali ilikuwa tofauti...
Habari Wadau, kama wasemavyo mficha maradhi kifo humuumbua, kwa namna moja huenda kuna mtu ashawahi kupitia changamoto kama hii anaweza nipa ushauri?
Nilikutana na mwanamke baadae nikasikia hali...
1. Binadamu ana damu ambayo ina seli nyeupe, chembe sahani na sell nyekundu.. hizi seli nyekundu ndio zinabeba oksijeni na kabondayoksaidi na kimiminika chenyewe
2. Seli nyekundu zina protini...
Wadau, naomba mwenye uelewa juu ya utaratibu mzuri wa kula kula matunda anisaidie. Nilishawahi kuambiwa kuwa si vizuri kula matunda mara baada ya kumaliza kula chakula kwani yanasababisha...
Wakuu nina mtoto ana kohoa, anaharisha na mbays zaidi nikimpa dawa anatapika ,hodpitali nimeenda tukapimwa na kulazwa kwa siku moja na nusu then tukaruhusiwa.
Lakini bado mtoto anaharisha na...
1. Drink water this morning. Your kidneys will thank you.
2. Eat at least an egg today. Your brain will thank you.
3. Exercise for at least 30 minutes today or take a long walk. Your heart will...
Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti.
Kula matunda kabla ya chakula...
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia...
Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'.
Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa...
Ushawah ona mtu ana ulimi halaf karibia koon kuna kaulimi tena kadogo kameota
Acha ile ya juu hii ipp kwenye ulimi nimeona binti mmoja anayo anasema inasababisha anakohoa ,kifua kubana na homa...
Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo.
Nina shida ya Afya!.
Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu...
Habari Wadau,
Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida.
Upi ukweli wa madai haya?
Habari zenu WanaJF:
Mwenzenu nimekuja naomba mnisaidie kitu hapa yaan mwaka Juzi mwezi WA Saba nilianza kusumbuliwa na tatizo la macho kuuma tena nikiwa usingizini nikawa na hangaika kama naumia...