Habarini wana jamvi,swal langu ni kwamba je mwanamke inabidi asubir mda gani kabla ya kupata mimba nyingine baada ya kupata miscarage au kutoka kwa mimba maana wife mimba iliharibika na imepita...
Nahitaji msaada mtu mwenye uelewa na hiyo kitu IBS yaani Irritable Bowel Syndrome na jinsi ya kumaliza kabisa tatizo hilo kama kuna dawa iwe za hospital au za ki mila anaweza nisaidia ku maliza...
Jamani msaada kwa wajuao kama kuna dawa mrs ana uja uzito wa miezi saba na nusu anapata maumivu makali kuanzia kiunon hadi karibu na mbavu upande wa kushoto tuu maumivu ambayo yanapelekea maumivu...
Naomba explanation kuhusu hilo maana mara zote nimekuwa najiona salam kila nnapotumia condom ila kuna mtu kanitisha kwamb haisaiidii kitu.... Naomben explanation wadau...
Katika pita pita yangu kwenye dawa zinazotibu UKIMWI nimekutana na hii dawa asilia inayoitwa Baariz inayotengenezwa nchini Pakistani. Wanaoipigia debe wanadai kuwa inaweza kutibu na kuponyesha...
MAMBO 5 UKIYAFANYA UTAKUWA MWENYE AFYA DAIMA
1.Kufanya mazoezi japo dk 20 kila siku
2.Kula nafaka kamili
>ukosefu wa nafaka husababisha,usingizi usio isha,mfano ukiangalia watu wengi kwenye...
FENESI ni miongoni mwa matunda ya msimu yenye umbo la kipekee huku likiwa na ladha tamu isiyomithilika. Licha ya sifa hii, tunda hili linatajwa kuwa na faida lukuki endapo litaliwa na...
Hii.
Waungwana wote,matatizo katika via vya uzazi yamekuwa yakiwasumbua watu wengisana,matatzo yamekuwa yakisababisha na vitu vingi kulingana na mtu na mtu.
Nina dawa ya mitishamba inayoleta...
Leo ngoja niongee kile ambacho nimekuwa nikifundisha ofisi nyingi hasa ninapokutana na wafanyakazi na kuwafundisha juu ya hatari iliyoko mbele yao kiafya.Wafanyakazi
wote ambao hutumia kompyuta...
Wadau naomba msaada wenu, girl friend wangu amepata matatizo yaliyopelekea kutolewa mfuko wa uzazi kwa hali hiyo ni vigumu kushika ujauzito kama ndivyo je tunaweza kupandikiza mbegu na yai kutoka...
Naomba kufahamishwa kisayansi, huwa inatokeaje mtoto kuzaliwa mweupe wakati wazazi wake wote ni weusi? Au mtoto kuzaliwa mweusi wakati wazazi wote ni weupe? Na vipi kuhusu ALBINO? UFAHAMU WENU...
imepita miezi mitano sasa tangu nilivyojifungua mtoto wangu wa kwanza, imetokea hali ambayo inanichukiza kwa kweli ni ili tumbo langu kuwa kubwa kama bado nina mimba, kwa ambaye anaweza kujua dawa...
Habari wana jf!
Nima mchumba wangu anaitwa sharifa;nimjamzito wa miezi 9 sasa,katika mwezi huu wa mwisho sharifa amebadilika na kuwa kama mtu aliye patwa na pepo la ngono,maranyingi ananitaka...
Habari zenu wadau wote wa jf,Kwa wanawake walio na matatizo ya nguvu za kike,Nina dawa inayoongeza nguvu za kike,ni dawa nzuri sana,dawa hii inaleta msisimko wa ajabu ndani ya mwili wa mwanake na...
Katika jambo ambalo sikuwahi kulijua ama kufikiria nikuwa, mwanamke anaweza kuwa nakipara. Nimeshaona wenye ndevu na garden love lakini kipara hapana, ila nilipigwa nabutwaa juzi kati baada ya ana...
Habari zenu wataalam wa afya, nimezunguka mikoa mingi Tanzania nimekuja kugundua wagonjwa wa macho wengi wako mkoa wa Dodoma. Je kuna kitu gani cha kijografia au kibayolojia kinachosabaisha huu...