Kama una matatzo ya uvimbe tumboni,Ninadawa ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa miezi miwili,ni dawa nzurisana.hata kama umeenda hospital ukachukua vipimo ukienda kupima baada ya miezi miwili...
habali wan Jf , mimi na mwenzangu ,
tumekuwa tukitumia uzazi wa mpango kwa njia ya kalendar njia hii tuliianza tangu mwaka jana desemba
sasa basi katika maelekezo tuliyopata , njia hii inafaa...
Mimi ni mtanzania na nina watoto watatu sitaki kuzaa tena na nimechoka kutumia lotion za bei ghali nimeamua kununua glutathione ivory cost ya 1500 mg nimesoma net vinasifika na zimewafaa watu...
Wakuu salam zenu.
Kwa muda sasa nmekuwa na tatizo la kuwashwa/kuumwa kwa miguu sehemu ya joint magotini na joints za chini karibia na unyayo pia juu ya mguu (foot) (sehemu ya mguu inayotumika...
Pata Malimao 2 weka ndani ya glasi ya maji baada ya kuyakata, Tango nusu kata weka ndani ya glasi ya maji, na majani ya Nanaa 10 au 10 weka katika glasi maji acha usiku kucha asaubuhi kabla ya...
jamani hili tatitozo langu linanisumbua huu mwaka wa nne sasa ninapatwa na usingizi ovyo ovyo hata nikiwa na zungumza na watu na nilivyo kua sec ndo muda wote ninalala darasani
Kiukweli baada ya kufanya research kadhaa inaonyesha kuwa methadone ina madhara makubwa sanaa kwa hawa wenzetu watumiaji wa madawa ya kulevya.
Ukiangalia uingizwaji na uundwaji wa haya madawa...
Naomba ushauri juu ya afya ya mzee mwenye tatizo la sudden heart attack ambayo hutokea mara nyingi saa kumi jion na saa kumi alfajiri na kumpelekea kushindwa kupumua na kuhangaika sana hospitali...
Kinga ya mwili ndiyo kila kitu katika afya ya binadamu. Kinga ya mwili ni ile hali ya mwili kuwa na uwezo wa kujikinga wenyewe dhidi ya maradhi mbalimbali. Ukiwa na kinga imara ya mwili, huwezi...
Kama unamatatzo ya nguvu za kiume NGAGATE ndo jibu lako,Ni dawa nzuri sana ya mitishamba ni dawa inayo ongeza na kutibu tatzo la nguvu za kiume,dozi yake ni kwa mda wa wikinne (4),inaleta msisimko...
TUEPUKE NA MAGONJWA, TUSAFISHA VIUNGO VYA NDANI VYA MWILI
Tunaweza kuishi mbali na magonjwa endapo tutajenga mazoea ya kula vyakula ambavyo vinafanya kazi ya kusafisha miili yetu. Tunavuta hewa...
Heshima kwenu wanajukwaa.
Nina tatizo ambalo nimekaa nalo kwa kipindi kirefu nikidhani kuwa ni jambo la kawaida.
Tatizo langu ni ulimi kuungua kila ninapokula/kunywa kitu chochote cha moto. Ni...
Kama unamatatzo ya figo ktk mwili wako,au umenda kuchukua vipimo hasipital ikaonekana kuwa figo yako/zako ni mbovu unaitajika kufanyiwa upasuaji!usifanyiwe nina dawa nzuri sana ya asili inayotibu...
Figo ni kiungo mhimusana ktk mwili wa binadamu,miongoni mwa kazi ngumu za figo ni pamoja na kuchuja taka mwili zinazoingia ndani ya mwili kwa njia mbalimbali kama kwa kunywa maji n.k.Licha ya...
Kwa kweli namshukuru Mungu sana Baba wa majeshi... Nasema hivi kwa sababu ni yeye aliyenipa hii afya niliyonayo sasa. Wakati bara la Africa likipambana vikali na ugonjwa wa malaria, mimi kwa...
Protein ni muhimu mno kwa ujengaji wa mwili wa mama na wa mtoto. Katika trimester ya pili na
tatu(miezi ya tatu ya pili na ya mwisho) mtoto anakuwa kwa kiasi kikubwa sana na ni katika kipindi...