Habari za muda huu,naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la kushindwa kufanya kazi figo.kuna jamaa zangu wawili na ndugu tangu mmoja wamefariki kwa tatizo hilo.naomba kujua yafuatayo
1.tatizo hili...
-Habari za majukumu?
Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya
-Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua...
Mwenzenu kwa muda mrefu sasa nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye unyayo wa miguu tena kwa kubadilika badilika miguu.
Aidha wakati mwingine nimekuwa na tatizo la kuwashwa sana kwenye...
Mtoto mdogo wa mwaka mmoja amekatazwa ana allergy sasa
Samaki
Maziwa ya unga na ng'ombe
Karanga
Dagaa
Soya maharagwe
Korosho
Vyakula vyenye rangirangi
Uji wa lishe
Sasa wakuu huyu anapewa vyakula...
Hivi tatizo la kupoteza usikivu linasababishwa na nini? Na je kuna njia zingine za kutibu tofauti na kutumia hearing aid?
Kama kuna mtu mwenye namba za mtaalamu naomba anisaidie tafadhali...
Habari wanaJF, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Kwa sasa ni mwanafunzi wa moja ya chuo kikuu nchini, nilipatwa na tatizo la kupiga makelele au mivumo masikioni mwaka 2016.
Nimesumbuliwa...
Habari za jioni waungwana wenzangu.mimi nasumbuliwa na vipele maeneo ya karibu na shingo ambapo ndio nywele za kichwa huishia. Je shida ni nini na dawa yake ni ipi naomba msaada wenu.aksante...
Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi.
Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu...
Ugonjwa wa kudhoofu kwa mifupa (Osteoporosis).
-Ugonjwa huu hufanya mifupa iwe dhaifu, ipungue ujazo wake na iwe kwenye hatari kubwa ya kuvunjika kirahisi pasipo kuhitaji mgandamizo mkubwa...
Usikivu hafifu ni tatizo kubwa na linalokua Tanzania; lakini linaweza kupungua kama mamlaka husika zikitimiza wajibu wao kisheria kwa dhati.
Naanza na mfano mdogo wa kuonesha ukubwa wa tatizo...
Jamani hebu wataalamu niambieni.
Maana mie ngoma ninayo miaka 20+ situmii ARV lakini nimepima zile oral mara tatu zote zinasoma negative.
Sasa sijaelewa hii inakuwaje
Habari zenu wana JF, Rafiki yangu aliyeangukiwa na kitu kizito kichwani hali yake ni taabani. Kwa hospito wanatuambia kuwa ameingia kwenye Coma Daktari anaendelea kwa kusema huenda akakaa kwenye...
Dawa hizi muhimu za binadamu zinauzika mno mtaani, mijini na vijijini. Soko lake ni pana na kubwa mno kwa sasa. Store hazikai kabisa, mzigo unatembea fasta mwendo wa ngiri kwenye soko la madawa...
Manjano na asali imekuwa tiba iliyokuwa ikinisaidia sana katika makuzi yangu endapo nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi.
Unachanganya manjano kwenye asali, pia siku zingine unakamulia maji maji ya...
Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba.
Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?