Habarini za kazi na miangaiko ya maisha wana jamvi, tafadhalini naomba kujua ni sababu gani zinaweza kumfanya mtoto asiongezeke uzito? Mfano mwanangu anamiezi 4 na wiki2 lakini tangu akiwa na...
Salaam ndugu zangu,
Naomba kuwauliza madokta wa humu jamvini je kuna madhara yeyote kwa mjamzito kutumia amarula?
Naomba pia kupata ushauri vinywaji gani naweza tumia visinidhuru mimi na mtoto...
Habari zenu wapendwa mm ni mgen naomba mnikaribishe...!!
Lkn pia nilikuwa naomba msaada wa kujua lishe bora ya mtt wa miez nane. mana mtt wangu hatak kunyonya sasa mwezi uliopita amepungua...
Mimi ni kijana wa miaka 33. Nasumbuliwa na kifua (kukohoa) kwa takribani miezi miwili sasa. Hilo tatizo liliwahi kunipata mwaka 2012 nikatibiwa nikapona. Sasa limejirudia tena.
Hatua...
Habari wana jf . Tumbo langu linazidi kuwa kubwa. Nimepima mkojo mimba sina na period naenda kama kawaida. Naomba kujua kama inawezekana kuwa na mimba na vipimo havionyeshi.
Salaam wanaJF!
Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya...
Habari wana jf, kuna ndugu mmoja wa familia yangu ni mjamzito ila anatatizo lakuumwa na kichwa sana mpaka anakua hajielewi, hua anatumia dawa za hospital, sijajua kama kuumwa huko kuna uhusiano...
habar, nina tatizo la kutojisikia raha pindi nifanyapo tendo la ndoa na ki ukwel limekua ni tendo ambalo limenifanya mpaka niwe mbal na wanawake laweza kua lilisababishwa na historia yangu ya...
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII MWANAMKE AOZA MAKALIO YALIYOSABABISHWA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO
Adha hii imempata mwanamke huyu baada ya kuanza kuona ngozi yake imeanza kuwa laini...
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na jambo flani ambalo nahic litantia wehu uko mbele nahitaji kukutana na mwanssaikolojia ili anisaidie kulitatua kwa yoyote anayemjua daktari wa...
plz ninaomba kujua niwakati gani ukifikia kwa mama mjamzito haruhusiwa kufanya tendo la ndoa na pia katika kufanya kuna kiwango chochote au umakini wowote unaotakiwa zaidi wakati wakufanya ili...
Kwanza kabisa ndugu zanguni wana Jf nawatakia heri ya mwaka huu mpyaa!,unaogawanyika.Haya niende kwenye mada nisiwachoshe ndugu zanguni;Jamani nawaomba wale ndugu zangu madaktari tulionao humu jf...
Amani na upendo uwe juu yenu.
wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi.
kero yake yanakuja...
Amani na upendo uwe juu yenu.
wakuu ninapatwa na makohozi mara tu niamkapo asubuhi na makohozi yenyewe yapo kwa ndani kabisa ya koo na huwa si mengi na wala sina kikohozi.
kero yake yanakuja...
huwa nikilala usiku asubuhi huwa najikuta nimehangaika sana mashuka yote huchomoka na USINGIzi HUWA HAUWI ULE MTAMU KABISA embu MADOKTA ni saidieni tatizo huwa nini?
:whoo::whoo:
Dar es Salaam.Timu ya Watafiti katika Chuo Kikuu cha North Carolina nchini Marekani, wamegundua aina ya sumu ambayo ina uwezo wa kuua seli ambazo zimekwishaathiriwa na Virusi Vya...