Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Salam wakuu, Mi kwa kifupoi ningependa kufahamu kuhusu lile swala la kwamba coin ya shillingi mia kua inaweza kuabsorp snake's poison kama ikitokea bahati mbaya umeng'atwa and what's the...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
habari za sasa wana jf wenzangu naomba nipate mawazo yenu ama msaada kwa haya majanga.Mimi ni kijana wa kiume,miaka 19 nina tatizo la kujamba sana tena kila wakati,shida zaid ni kwamba huwa si kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
^^ Jana nimepata mgeni aliyekuja kunitembelea.Lakini alikuja kunijulia hali alipopata habari kuwa naumwa,na nipo naendelea na dozi. Lakini jambo moja lilinishangaza pale aliposema '...nakuonea...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar mwanajf. Ninamtoto ambaye ana mwaka na miez 2. Lakini paka sahiv atambai wala asimami dede hata wazo la yeye kutembea hana. Inaniuma sana mwanangu hata nkimsimamisha anakunja miguu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf naombeni ushauri nina mpenzi wangu wa kike anamatatizo ya moyo sasa tukiwa kwenye kale kamchezo huwa anachoka sana yani akijitahidi sana mara mbili na huwa anachoka sana sasa mimi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wadau habari zenu! Tafadhali naomba kujuzwa kwa anaejua. Hivi mimba inapokuwa imetunga nnje ya mfuko wa uzazi ni sherti itolewe au kuna njia nyingine mm'badala wa mimba kuendelea...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukijaribu kufikiri kua more than 20 people use the same shaving mashine kwa siku unapata picha ya kuambukizana magonjwa. Kama sio yale makubwa basi ni mengine. Ingawa wataalam wanasema kua sio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na shirika la habari la Uingereza BBC, Julai 8 kuhusu utafiti uliofanyika nchini Uingereza uliowahusisha watoto 11,000 wakifuatiliwa kuhusu ratiba zao za kulala na kupima uwezo...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Hallo wanajamii. Ninaomba Mnyambulisho kati ya HIV 1 and HIV 2. Kuna tofaut gani? Kati ya HizO hapo Juu. Je Ni aina Ipi ambayo huambata na Dalili za Mkanda Wa Jeshi!? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba kuulza nyie madoktaz, et kwa mwanaume kuchelewa kupz n tatzo la kiafya au n hal ya kawaida....!!?
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Hello. Nimepata tatizo ambalo limejitokeza hivi karibuni lakukojoa mkojo wenye damu. Nimeenda hopsital nikaambiwa nifanye vipimo vya mkojo. Zoezi hilo lilifanyika bila kuona tatizo. Dactory...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
1. Stronger Bones Beer contains high levels of silicon, which is linked to bone health. In a 2009 study at Tufts University and other centers, older men and women who swigged one or two drinks...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Heshima kwenu Jana nikiwa na jamaa zangu tukipata moja moto na nyingine baridi huku tukipiga stori za hapa na pale ikaibuka mmada ya ukimwi na tukaanza kuijadili. katika kujadili mambo yalikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jf,natumai mu wazima!Leo nimekuja jukwaani hili niombe msaada wa ushauri na matibabu pia,Nina mdogo wangu wa kiume yupo kidato cha kwanza sasa,Tatizo linalomkabiri ni ametokwa na...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Habari wana jf.Nina tatizo lilodumu kwa mwezi sasa,mwezi uliopita nilitokwa na damu puani kwa siku tatu mfululizo mpaka nikalazwa hospitali ya wilaya,baadae nikapona kabisa na damu haikutoka tena...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habar wakuu polen na majukum nlikuwa naomba mnielekeze juu ya utumiaj wake kwa sababu nmesikia endapo nkizidsha naweza nkadhuruka ,n kwa ajili ya kujikinga na magonjwa mbalimbal
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Hatari ya Kukakamaa kwa mwili huongezeka kwa mtu mwenye kiharusi au vihatarishi vya kiharusi kutokana na utafiti uliofanywa Rotterdam uholanzi. Sehemu ya ubongo kitaalamu Cerebral cortex...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mie ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimekuwa katika ndoa kwa miaka 6 sasa. Mwanzoni nilikuwa nauwezo mzuri wa kufanya tendo la ndoa , muda unavyosonga uwezo wangu umekuwa ukipungua na hivyo mke...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Wanajamvi habari za jioni. Leo ningepeda kujadili juu ya hizi clinics za tiba mbadala ambazo zimeibuka kwa wingi sana hapa Tanzania na ambazo kiukweli zinaleta changamoto kali sana kwa mamlaka za...
5 Reactions
30 Replies
11K Views
Habari wajumbe,samahan kuna mtu anaweza jua dawa ya huu ugonjwa mana unamtesa sana Mzazi wangu. Ntashukuru kwa msaada
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…