Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Wanasayansi wamekuza jino kutoka kwa mkojo wa binadamu Matokeo haya yaliyochapishwa kwenye jarida la utafiti wa kisayansi la Cell Regeneration, yalionyesha kuwa mkojo unaweza kutumika kuunda celi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf nimekutana na demu wangu siku saba baada ya hapo akapata hedhi . Tukakaa akanipigia simu akaniambia siku zake hazioni na ni siku ya thelathin ktk mzunguko wake.tatizo linakuja hivi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
eti inasemekana kwa mwanamke mwenye mimba ya kwanza kuna uwezekano wa kujifungua mapema zaidi kabla ya tarehe anayoifikiria???? kabla ya wiki moja au mbili??? nijuzeni pleaseee na kama ndivyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuuu!!!! Mimi niko kwenye ndoa kwa miaka minne sasa. Kwa bahati mbaya bado hatujajaaliwa kupata mtoto. Hapo ndipo ninapoomba msaada wenu waungwana ili nami niingie kwenye ulimwengu wa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habarii! Naomba mniambie dawa inayoweza kukausha kidonda kwa haraka ni ipi! help me please!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nasikia matangazo ya huu mfuko wa bima ya afya bahati mbaya hawasemi unajiungaje na gharama yake mwenye kujua anipe somo la kujiunga
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Kwanza niwashukuru wote walionishauri kwenye thread niliyoomba ushauri kuhusu malaria... Kuna mdau alinielekeza nije kwa Kishamba hapa Majengo Moshi. Nimepima na hakuna tena wadudu wa malaria...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF wenzangu,naomba msaada kwenye hii hali niliyonayo kwa takribani miezi miwili,kila ninapokula iwe chakula cha mchana au usiku baada ya nusu saa mapigo yangu ya moyo hunienda mbio...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za mchana wana jamvi, Nauliza kuhusu utaratibu wa hii hospitali yetu ya Muh kuidhinisha matibabu ya wagonjwa walioshauriwa kwenda kwenye matibabu zaidi nje ya nchi kutoka katika hospitali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar za pilka pilka za kusaka lishe wana jf..mimi nahisi nina tatizo.ili tatizo linakuja pindi tu napokua far from home yani labda nikiwa shule.waga nahisi uchovu sana..kuhisi kuumwa umwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
HEy guys. i do give warning this video may not be suitable for others but its worth knowing what gors on on tummytuck operation here is the link Miami Plastic Surgery - Tummy Tuck...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
hi..! Mzee wangu anasumbuliwa sana na miguu,yaani akivaa viatu tu hata masaa 2 akivua basi miguu kuanzia magotini hadi unyayo unaota vitu kama vipele hivi vinawasha,then vile vipele vinakua kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pregnancy and discomfort often go hand in hand. But when discomfort progresses to pain, what medications can expectant mothers use for relief? Luckily, safe painkiller options exist, but as with...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF, leo nimeamua kutoa somo la bure kuhusu aina mbali mbali za vitambi ili iwe rahisi kuvitambua na kufahamu yale yanayohusiana na hivyo vitambi. Nianze kwa kusema kuwa vitambi viko...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
top ten reasons to drink argi. acts to release anti aging hormones. affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Hi members, kuna jamaa yangu wa karibu anaso SAUT, Mwanza alikua na mahusiano na binti mmoja, so jana amefanya mapenzi na binti huyo na alitumia kinga. Ila baada ya masaa kadhaa akagundua kumbe...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nina tatizo la kitu kunizurura rohoni. Nikihoa naishia kutoa kohozi tu lakin chenyewe hakitoki, nikimeza hakimezeki na hata kinanikera hata nikijitapisha hakitoki. Msaada wane jaman.. Hali ina...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
1.kuugua kwa tumbo au maumivu ya tumbo mara kwa mara? 2.Kufanya mapenzi na mwanaume kwa muda mrefu mwendo wa masaa 2na kuendlea bila kuchoka?. 3.kutoona siku za hatari(danger zone).kwa mda na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina taizo la makamas meupe kutokea puani. Nimetumia dawa za hospital lakin hali si shwari. Koo haliniumi wala haliwashi. Na makamas yanatoka safi bila damu. Kwakuwa nilikaa kwenye bardi kali ...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…