Wana jf naomba kuuliza mashine za ceragem zinazotumia umeme kutibu magonjwa yote kwa kubezi kwenye uti wa mgongo zina effect gani kwani naona zimekuja kwa kasi.
Naomba msaada kujua.
Wadau nina mtoto anamiaka 6 sasa lakini kila mbinu ninayotumia kumfanya aache kunyonya kidole inafeli
Nimejaribu kumpaka vitu vichungu kama pilipil nk
Nimejaribu kumfunga bandeji anaito
Alitoka...
Condoms are actually great for the vagina
Condoms are actually great for the vagina (Thinkstock photos/Getty Images)
Apart from preventing unwanted pregnancies and spread of sexually...
Habar jf,
Kuna msichana amefikisha siku 45 hajaona siku zake (hedhi) na nilipo jaribu kumuuliza kuhusu kupima ujauzito, akasema amesha pima mara 2 na hamna kitu..
Afanye nini ma Dr. ?
habari JF doctor
jaman ninasumbuliwa na miguu kwa mda sasa na sijui nifanyeje,hii miguu inauma kwenye ugoko kwa mbele yaan as ifu inaungua na moto,sometimes inaacha sometimes inauma ila hasa hasa...
Men who regularly skip breakfast have a 27 per cent higher risk of suffering a heart attack than those who eat the meal, says a new Harvard study.
The 16-year...
Habar jaman,msaada wenu unahitajika tafadhar,rafki yangu anasumbuliwa na ganzi vidole vitatu vya mguun kwa muda wa miez 4 sasa,mwanzon ilikua ganz na maumiv makal lakin kwa sasa maumiv yamepungua...
In a new study, researchers found that for every 10 centimeters of height, a womans risk of developing a range of different cancers increased by 13%. Follow this link to teead more!
Wanabodi,nimekuwa nakumbana na tatizo hili mara kadhaa sasa.
Pindi tunapo kutana na mwenzi wangu kwa tendo,inanichukua muda mrefu "kusimamisha",na baada ya tendo,inanichukua muda pia kwenda round...
Habari
Napenda kuchukua fursa hii kuwajulia hali zenu wadau
Doctor naitaji masaada wako wa ushauri au matibabu kama ikiwezekana
mama yangu anaumwa moyo umepanuka na kujaa mafuta, na vilevile...
Habari ndugu wanajf,Nina ndugu yangu ametokewa na uvimbe tumboni.Anadai umeanza muda mrefu na umekuwa ukiongezeka siku hadi siku hadi umefikia hapo.pia anasikia maumivu kwenye hup uvimbe.Leo ndo...
Trevo is the most complete natural supplement in the world today. It is just one single product in liquid form.
Trevo treats people with high-blood pressure, diabetes, partial impotence, low...
Leo asubuhi nikiwa kwenye daladala nimeshanga kumwona kijana mdogo wa umri kati ya miaka 12- 14 akiwa na mvi kichwani. Nimeshangaa na nimeshindwa kuelewa; inakuwaje mtoto wa umri huo awe na mvi...
Na Dr. Marise
HAEMATURIA ni ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwepo chembechembe za damu nyekundu (Red blood cells).
Kukojoa damu ni dalili ya kuonyesha kuwa mtu anayekojoa ana...
Habari wadau,
Naombeni msaada wenu katika hili, ninafanya kazi kwenye mazingira ya baharini sana na tupo kwenye chombo
ambacho ni kama meli lakini iki kimekua designed kwa ajili ya uchimbaji tu...
Habari wana JF, mimi ni kujana wa kiume nina miaka 25.
Nimekuwa na tatizo la kujaa mate kifuani nakuwa kama nataka kutapika ila hakuna kinachotoka. tatizo hili linanipata zaidi usiku, yaani...
People should eat breakfast to keep their hearts in good condition, according to researchers in the US.
Their study of 27,000 men, in the journal Circulation, showed those skipping breakfast were...