Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Za sa hizi jamani,Mwenzenu nna shida naomba msaada kidogo,ivi kitu gani kitanifanya nirudishe mwili kwa haraka maana hali mbaya nimepukutika ad balaa naombeni msaada wenu kimawazo nifanyeje niweze...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
msaada jamani, hivi karibuni nimekuwa nikipata maumivu makali ktk mguu wa kulia nyuma ya goti, kuna msuri nikikunja mguu basi ni taabu kuinuka , unakuta huo msuri...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu. Nahitaji dawa yakutumia ya kuondoa kitambi chote. Nimejaribu mazoezi ila nakuwa mvivu sasa naombeni msaada kwa mwenye dawa au wanapouzwa na je inaitwaje?? Asanteni!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,kuna jirani yangu jamani anatatizo la maralia na kila wakati akienda hosptal anapewa dawa au anaandikiwa sindano na anapona kabisa ila utashangaa imepita wiki anaugua tena...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nasikia maumivu ndani kwenye mrija wa uume wangu sijui tatizo litakuwa ni nini, msiniulize habari za ngono hapana sijawahi fanya hivyo sasa ni miaka 9 bila kutoka nje ya ndoa.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wana JF habari Zenu! Ni takribani wiki1 na siku2 tangu nilpo post thread isemayo mficha uchi hazai.Ama kwa hakika ina zidi kunipa morali kauli hii ya mwalimu wangu 'Sisi soote ni wanajamii,na...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
jipatie aloe gelly iliyochanganywa kwa virutubisho 200 Kwa matumizi yafuatayo kusafisha mfumo Wa damu kuboresha mfumo usagaji chakula asthma kisukari presha maumivu ya tumbo/ mgongo/kiuno...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Headlim powder ni dawa ya miti shamba yenye kibali kwa ajili ya wenye matatizo ya ukimwi kwa kupandisha cd 4 hadi kuwa katika hali ya kawaida,dozi ya kwanza nakupatia bure ili uone tofauti yake na...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
habari wanajamvi.... nawaomba wataalamu wa saikolojia wanisaidie katika hili. mwaka 2011 nilifukuzwa shule nikiwa kidato cha sita(mwakaleli sec school) kutokana na migomo iliyotokea kwa wakati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtoto wangu ana miezi mitano sasa. Wiki tatu baada ya kuzaliwa kwake alipatwa na tatizo la kushtuka na kutetemeka mguu na mkono upande wa kulia. Alianzishiwa sindano ktk hospitali ya mkoa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
As Mystery Illness Stalks Its Young, India Intensifies Search for a Killer Kuni Takahashi for The New York Times Dr. Mohan Kumar checked on a patient at Sri Krishna Medical College...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Is obesity a disease? That's a question that's been debated in the past 10 years, with no clear answer because it's such a complex issue. Is obesity a lifestyle choice that we can change by...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
hellow! I hope ya duin gud here is a presentation of CLEAN 9 Introduction This easy-to follow 9 day nutritional cleansing programme provides you with all the necessary tools to help you cleanse...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na jipu kila mwaka.Kwa miaka mitatu mfululizo ikifika mwez wa sita tu linatokea katikati ya makalio. Ila mwaka huu limenitokea mwez wa pili na sasa naona dalili tena sehemu...
1 Reactions
5 Replies
24K Views
naombeni mnieleze hichi kifaa cha h2g kwa wanawake kinasidiaje mwanamke ambae hana mtoto kupata mtoto,maana sielewi ni nini,msaada wakuu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kijana mmoja amekutwa akitoa huduma za tiba zinazotolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake katika zahanati bubu maarufu kwa jina la kwa Docta Kondoliza eneo la Mji mpya Majohe kinyume...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Vidole vyamikono vinawasha kisha vinatoa vipele ukivigusa ngozi inakuwa ngumu.inasababishwa na nini na nini dawa yake?
0 Reactions
0 Replies
6K Views
know SPLINA. 1.cleansing. cleanses the digestive system, assists in purifying blood, eliminates bacteria, disinfects and detoxify. 2. balancing. balances body acid alkali levels, boots the...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
HIZI NDO SABABU ZA MWANAUME/KIJANA KUPOTEZA UWEZO WA KUZAA-KUTOPATA MTOTO Vijana ambao bado wana mawazo ya kuongeza familia wakati mwingine hushiriki katika tabia fulani hatari si tu...
2 Reactions
16 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…