Wadau naomba msaada wa nini cha kufanya, mtoto wa miaka miwili ameifuma dawa ya Amoxicilin inapokaa akainywa yote chupa nzima.Ilikuwa ni dozi aliyoandikiwa hospitali na tulianza jana kumpa.
Habari wakuu?
naomba kuuliza dawa ya mwanamke mjamzito wa mwezi mmoja na nusu, je ni dawa gani ya malaria utumia, kwani nimeambiwa mpaka mimba ya miezi 4 nakuendelea unywa dawa hizi za kawaida...
Hakika splina ni TIBA bora ambayo itaweza kukuondolea matatizo au maradhi mengi katika mwili wako. splina liquid chlorophyll ina mchanganyiko wa zinc, selenium, vitamin E, vitamin C, vitamin...
Wakuu hua nikitumia condom kwenye ku sex bao la kwanza linatoka fresh lakini kuanzia la 2 na kuendelea ni kazi naweza nikabadili ata 3 lakini si mwagi hadi demu wangu analalamika nifanyeje wakuu
1. No Breakfast
People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain degeneration.
2...
Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi Kusonga Mbele
huduma sahihi kwa jamii ndiyo lengo letu
Wizara ya Afya na Ustawi Jamii
...ndiyo kibwagizo (SLOGAN) inayokukaribisha kwenye lango kuu la...
Mimi nina tatizo la ugonjwa wa miguu inauma kwenye muscles na kwenye joint karibu na kiuno ni maumivu yanayovuta yanayonifanya nishindwe hata kutembea coz naumia nikitembea muda mrefu.naombeni...
Ni jambo la kawaida sana kwa baadhi ya Watu kuumwa tumbo na kuhara baada ya kula chakula Fulani,---- watu hawali mbogamatunda,nyama au samaki wa aina Fulani kwasababu wakila Tumbo linauma,na...
Wana JF, Imekuwa ni "fashion" kuna watu wengi wakila nyama iliyosindikwa siku hizi. Mara nyingi hii inajitokeza zaidi kwa wale ambao hali zao kiuchumi ni nzuri. Nyama iliyosindikwa (processed...
Wana JF, Imekuwa ni "fashion" kuna watu wengi wakila nyama iliyosindikwa siku hizi. Mara nyingi hii inajitokeza zaidi kwa wale ambao hali zao kiuchumi ni nzuri.
Nyama iliyosindikwa (processed...
Wakuu naomba msaada kila nikinyoa ndevu natokwa na vipele sana hadi vinaota usaa..hii inasababishwa na nini na dawa yake ni nini mana nimepaka dawa mbalimbali lkn cion mabadiliko
Mbegu za ufuta
12 Health benefits of sesame seeds
1. Sesame seeds contain Vitamin B1,B2, B3 and E.
2. They have powerful antioxidants and help to fight cancer.
3. These oil seeds contain...
NAOMBENI KWA ANAYE FAHAMU ANIJUZE
The Complete Natural Cleansing Solution For Parasites! Helps your body to naturally eliminate parasites & assist with the die-off symptoms. The only 100% Natural...
Pregnant women could be given VIAGRA to 'boost baby growth'
Study is underway to see if sex drug can boost survival of babies who are not growing the womb
Previous studies found that Viagra could...