Energy drinks hutangazwa kama vinywaji vinavyoweza kuongeza nguvu na kuamsha ubongo.
Matumizi ya bidhaa hii yameongezeka sana siku za hivi karibuni jambo lilaloongeza hamu ya kujifunza na...
Salaam wanaJF!
Tezi la karibu na kinena (juu ya paja karibu na kinena) limevimba na linanisababishia homa.
Kwa experience ni kwamba, tezi (la kwenye kinena) huvimba iwapo tu kuna kidonda au...
Uko upande upi?
Binafsi nazikubali dawa muhimu kwa kuwa ni uhakika kupona unapozitumia, zimeundwa kwenye Right Proportion (Composition), pia wataalamu wamekaa maabara miaka na miaka kuzifanyia...
📍Dar es salaam
◾ 17/01/2024
Habari wana-Dar es salaam. Tunamshukuru mungu kwa kutuamsha salaama siku ya leo. Wagonjwa na wanaopitia changamoto mbalimbali mungu awafanyie wepesi waweze kukabiliana...
Habari ya uzima wakuu
Jiran na ninapokaa,
Kuna mtoto amezaliwa ila kichwa kimejaa maji (wataalamu wa afya wanaita hydrocephalus)
Kwa elimu yangu.
Nafahamu hawa watoto wanatibiwa Kwa kuwekewa...
Mwaka wa 2018, karibu mwezi wa Januari, binti mmoja alijifanyia uchunguzi wa mwili na kugundua uvimbe mkubwa kwenye titi lake, ambao uliendelea kuongezeka hadi mwezi wa Oktoba alipofanyiwa...
Kwa Mujibu wa Mwongozo wa Kitaifa wa Kudhibiti Mlipuko wa Kipindupindu, Maeneo ambayo huonekana kushamiri maambukizi zaidi Nchini ni yale yasiyokuwa na maji ya kutosha ambayo ni safi na salama kwa...
Wataalamu habari zenu? Aisee nina mdogo wangu wa kike she is 20's, mwezi wa 7 mwaka jana alijifungua so nikawa nmeenda kumcheck ila nilishangaa kuona ana vipele mikononi na mgogoni na shingoni...
Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni.
Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie.
Niko na hali mbaya.
Asanteni.
Inawezekana kila mwanamke anatamani kuwa na uke wenye harufu nzuri na kamili, hasa kwa furaha au kuridhika kimapenzi. Lakini, matumizi ya bidhaa za utunzaji wa kike yanaonywa na wataalamu wa afya...
Ndugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya.
Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya...
Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka...
Moja ya kiashiria kikuu cha ubora wa Huduma za Afya ni kiwango cha wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya ambapo kwa Mwaka 2023 kimeongeka kwa 85% kutoka 81% Mwaka...
Naomba msaada tafadhali,
SAUTI yangu imekwama zaidi ya mwezi sasa,mara ya kwanza nilikuwa nakohoa kidogodogo,lakini baadae sauti ikapotea kabisa,nikaenda hospitali wakanipa dawa za...
Wanajamvi habari, mi ni kijana miaka 30 naishi Dodoma na Mpenzi wangu anaishi Dar. Tuko na zaid ya mwaka sasa kwenye mahusiano.
Mara nyingi huwa ye anakuja Dom na mara chache mi nashuka Dar...
Habari JF's,
Kumekuwa na mfululizo wa matukio ya kuwashwa kwa baadhi ya watu, wengine wakiwa wanasikilizia tu muwasho kimya kimya, hadi pale utakapomuelezea hali yako ndo na yeye anasema ''Hata...
Habari zenu,
Watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwasema wake zao kuwa hawajui kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada...