Wana JF habari za Mchana!
Mara nyingi nimekuuwa nikijiuliza ni kwa namna gani mtu anaweza ku-overcome hali ya hofu ya namna yoyote.
Ninae jamaa yangu ambaye naona ana wakati mgumu najaribu...
Hawakukosea wale waliosema kuwa mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako. Matunda mengi yana manufaa lakini tango tunasema limetia fora.
Kwanza linasifika kwa kuwa na vitamin zote...
Msaada please,mdogo wangu ana shida kwenye organ yake ya kiume, imecease kukua, ana miaka 24 sasa lakini nyeti zake ziko ka za mtoto wa miaka 6, kuna suluhisho katika hilo tatizo?
Habari! Kuna hali ya kutokwa na vitu vyeupevyeupe ukeni hasa ninapokaribia period au nimalizapo na ktk kpnd hichi nikikutana na mme wng naviona kweny uume...
pata tiba, kinga NA ushauri juu ya afya yako. .
epuka kutumia kemikali ambazo huweza kuunguza baadhi ya viungo mwilini NA hata kukusanya sumu mwilini NA kusababisha magonjwa MENGINE.
0713507487...
Wataalam,ni njia tiba ipi mbadala itanisaidia maana nataka macho yangu yawe meupe,maana yana rangi la brown,ila sina tatizo lolote la macho,nataka tu yawe meupe wandugu,au kuna athari zozote za...
Naibu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashidi amesema idadi ya viziwi nchini itaongezeka hadi kufikia 24,080 mwaka 2016.
Dk. Rashidi alitoa takwimu hizo wakati akifungua
mkutano...
Cancers nyingi zimekua zikisababishwa na BINADAMU wenyewe(do-it-yourself diseases).Tumekua tukiikuza kwa kuendelea kudumu katika sababu fulani za kimazingira. Vitu ambavyo tunakula,kunywa, mahal...
Stomach cramps that start suddenly after eating are pretty common. Let us understand the various causes behind this condition.
A definitive diagnosis of stomach problems after eating is very...
Katika jicho langu moja kuna mtoto wa jicho kuanzia fm2 mpaka sasa nimemaliza fm6 cha kushangaza huwa katoto hako kanapotea kwa mda flan,nikienda hospital kwa upasuaj sometime hawakaon,WENYE UJUZ...
We go to herbs to boost our fertility, so why not rely on them throughout pregnancy? I know theres a lot of caution out there about taking anything while youre pregnantfrom herbs to food to...
jamani wana JF HEADLIM POWDER ni dawa ya miti shamba iliyopimwa na mkemia mkuu na kufanyiwa tafiti na wizara ya afya kwa matamtizo ya H.I.V, matatizo ya moyo,kansa ya utumbo,maradhi ya ngoz...
Wana jf natumai mko poa. Naomba kulifahamu hili kwa mwenye kufahamu. Bila shaka wanaume nao wanatumia njia za uzazi wa mpango sasa inakaaje hapa kwa wao hawana madhara yozoteyawapayo