Daktari amemshauri mama mwenye umri wa miaka 70 kufanyiwa operation ya GOTI (corrective wedge osteotomy). Nimekuwa nikisikia kwamba hi ioperation sio nzuri kwa watu wenye umri mkubwa.
Tatizoni...
MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA
Maajabu ya uumbaji yamemfanya mama mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba msaada wa...
The human body is one of the most amazing constructions on the planet. Brilliantly efficient, complicated and mysterious, and capable of so much. If it wasnt for the human body you wouldnt be...
Hallo Doctors, Nisaidie kujua kama kuna jambo tumelikosea ,au limekosewa na wataalamu kuhusu kutorudia hali ya kawaida ya mke wangu baada ya kujifugua.
Ukweli ni kuwa , ujauzito wa kwanza ulikua...
Habarini wadau.
Sijui nielezeje ila ni kwamba najikuna sana hapa mbele (kwenye kitumbua) panapoota nywele.
Nimepima sina fangasi, ugonjwa wa ngozi na wala sina harara.
Nikinyoa,nisiponyoa hali...
top ten reasons to drink argi.
acts to release anti aging
hormones.
affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control.
reduce blood cholesterol...
Ni aloe ILIYOBORESHWA NA VIRUTUBISHO 200 toka America ili kuhakikisha inaboresha afya yako ipasavyo. Inatibu magonjwa mengi sana yakiwemo yafuatayo.
jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo...
NYWELE ni sehemu muhimu sana katika MVUTO wa mwanadamu .
tumia aloe jojoba shampoo NA condition ambazo zitakusaidia kufungua poles za NYWELE NA kuzifanya zikue kwa kasi hata kama ni kipara au...
Habari zenu wataalamu wa jukwaa hili hapa, natumaini wote mu wazima wa afya tele!!!!!!! Mai wife ana ujauzito sasa wa takribani miezi sita sasa, ila tatizo amekuwa akienda haja ndogo kila mara...
ugonjwa wa kupalalaizi;- unasababishwa na nini? Dalili zake ni zipi? Unashambulia watu wenye umri gani? Je, kiaje unaweza kuuepuka? Unatibika? Na unatofauti gani na kiarusi na coma...
jamani mchwa wamemaliza milango na madirisha yote ya nyumba yangu na sasa wamevamia kuta za nyumba kwa fujo. Naombeni msaada wenu kwa anayefahamu dawa ya kuangamiza mchwa au nini cha kufanya ili...
Hope hamujambo sana
mimi wananiita bonge nina uzito wa kg 97 lakini my ideal wt kitaalamu ni kg 65 nilianza shida hizi baada ya uzazi miaka mitano nyuma nimeshindwa kabisa kurudi kwa uzito wangu...
Wakuu poleni na majukumu,.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivi ya Meno kwa muda mrefu sasa ambapo hadi sasa nimeshang'oa Meno matatu, naombeni kama kuna dawa mbadala ya kuondoa haya maumivu maana...