Kujivutavuta nywele kwa kawaida huanza tu kabla au baada ya kubalehe. Wakati wowote, karibu 1-2% ya watu duniani wana ugonjwa huo.
Takriban 80-90% ya watu wazima walio na trichotillomania ni...
Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Jicho langu moja la kulia ni jekundu sana na ni muda mrefu tangu mwaka 2019.chanzo ni kwamba niliingiliwa na mdudu ambapo...
Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao.
Maambukizi ya...
Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana.
hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi.
Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku...
Karibia kila mmoja wetu amewahi kuchoma chanjo ya kujikinga na ugonjwa fulani hasa alipokuwa mtoto. Chanjo za watoto kama chanjo ya kifua kikuu, polio, pepopunda na surua kwa kiasi fulani zimekuwa...
Huu ni ugonjwa unaotokana na mchafuko wa tumbo ambao unasababisha kuharisha kinyesi chenye damu au kamasi au vyote kwa pamoja. Ugonjwa huu usipotibika haraka unaweza kusababisha kifo kutokana na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda!
Shemeji/wifi...
MTOTO WAKO ANAPATA UTI KILA MARA ?FUATA HAYA......
Ugonjwa wa mfumo wa mkojo kitaalamu urinary tract infection(UTI) umekuwa
ukisumbua watu wengi. Vimelea vinavyosababisha ugonjwa katika mfumo wa...
Share
IMAGE SOURCE,MENNA JONES
Image caption,
Mnyama wa mwituni ajulikanae kama Tasmanian devil
Uchunguzi wa geni wa Tasmanian devils umebaini uwezo wa haraka wa kutibu maambukizi ya saratani ya...
CHANZO CHA PICHA,EPA
Watafiti nchini Ufaransa wanasema kuna uhusiano kati ya vyakula vilivyosindikwa na maradhi ya saratani.
Watafiti hao wameainisha vyakula ikiwemo keki,kuku na mikate kuwa...
Maelezo ya picha,
Jitihada zinashinikizwa kung'amua mapema maradhi ya saratani na kuyashughulikia ipasavyo
Kampeni kubwa imesambaa duniani wakati dunia leo inaadhimisha siku ya saratani duniani -...
Aspirini huenda inaweza kusaidia kupambana na saratani sugu ya matiti kwa kufanya uvimbe mgumu kutibika kuitikia tiba ya dawa za kupambana na saratani, madaktari wanasema.
Kundi la wataalamu wa...
Maelezo ya picha,
Laura Everley,ambaye alipatikana na saratani ya mfuko wa mayai ya uzazi(ovari) mwaka 2014, akiwa pamoja na mwanae wa kiume Harry
Ni theluthi moja tu ya wanawake wanaomuona...
Njia Salama na Asilia ya Kubana Uke
Uzazi na afya ya uzazi ni sehemu muhimu ya ustawi wa kila mwanamke. Kujua na kuelewa jinsi ya kutunza mwili wako kunaweza kuleta matokeo mazuri katika maisha...
Hello Ndugu zanguni , naombeni msaada wenu waungwana wangu. Nina tatizo kwenye miguu kila ninaporuka kidogo tu kukwepa dimbwi la maji au kamtaro kidogo tuu, miguu inakuwa kama.
Inaogopa vile na...
Kiungulia ni tatizo linalowapata watu wengi. Kiungulia ni hali ya kukukosesha raha ya kusikia kuwaka moto kwenye eneo la kifua na kuenea hadi shingoni na kwenye koo. Ukiwa na kiungulia unaweza...
Salam zenu wadau na wataalam wa afya.
Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo hasa maeneo ya upande wa kulia chini ya mbavu ambapo wataalam wanasema ni maeneo linapokaa INI.
Huwa inatokea Kama...
Apple Cider Vinegar Cures
Apple Cider Vinegar, that wonderful old-timers home remedy, cures more ailments than any other folk remedy -- we're convinced! From the extensive feedback we've...