Wanabodi mwenzenu nawashwa sana ukeni ni baada ya kukutana kimwili na mpenzi wangu peku. Nimejaribu kujiswafi na detto ila bado muwasho upo.naomba mnielekeze dawa za kutumia kuondokana na hili tatizo.
habari wana jf?
Mm ni mfupi kwa umbo kwani nina urefu wa kama cm 155 na uzito wa kg 47 je naweza nikaongezeka urefu na uwe na uwiano sawa na kilozangu?
Kama inawezekana ni vyakula vya aina...
jamani nina mwanangu hapa nyumbani tatizo lake ni alisha wahi uguua tb mwaka jana ila tangu apone analalamika kuwa kifua kinamuuma yani kwa physical pain tumejaribu kwenda hospital wakifika kule...
Mimi nina ujauzito wa miezi miwili na nusu nilienda hosp nikapiwa mkojo nikakutwa na UTI nikaandikiwa vidonge vya amoxylin 2*3 kwa siku tano je kuna madhara yoyote ya dawa hizi nikilinganisha na...
Hi! nakuja kwenu wanajamii ilikupata ushauri ambao kwa namna moja nyingine utakuwa utatuzi wa kile ninachohisi kuwa tatizo. Kwanza nilihisi ni kawaida sana na sasa naona kama tatizo, kwani mie...
Naomba msaada namna ya kupanga uzazi kwa my wife wangu kwa njia ya calender maana sina mpango kumpa uzauzito kwa miezi ya hivi karibuni mpaka miezi 7 ipite tuenjoy ndoa yetu kwanza,nasipendi...
wandugu naomba mnisaidie kujua hili, mimi nilitakiwa kuanza kubridi tarehe 9 mpaka 12 kwa muda wa siku nne. Tarehe nane ilipofika nikasikia maumivu makali mpaka hiyo tarehe 12 ila mpaka sasa...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26. Ninatatizo moja nahisi harufu inayoka puani mwangu au mwilini mwangu ni mbaya. Ipo hivi labda nimetoka nipo njian natembea basi nikipishana na mtu...
Naomba kuuliza wapi kuna kiwango cha sukari zaidi kati ya chai na bia.
Ambacho kinaweza kuathiri kiasi kilichopo mwilini.
Chukulia bia kama Tusker,Killi,Serengeti.....
Ahsante.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26, ni muhitim wa chuo. Tatizo langu ni kwamba nikiongozana na mtu yeyote awe rafiki yangu au hata nikipishana na mtu ambaye hatufahamiani naye, kama...
Msaada jamani,
Je ni huduma gani ya kwanza ,aliopewa maziwa ,na chumvi akatapika mtoto huyu ana mwaka mmoja na miezi mitatu.
Kulikuwa na jenerator nje wanapump maji kwangu umeme wa TANESCO...
Habarini za asubuhi wapendwa wa JF natumaini mu wazima.
Nahitaji msaada wenu juu ya hili tatizo nini kinasababisha kichwa kuuma sana hata ungetumia dawa tatizo liko palepale inafika kipindi...
Scientists develop mosquito repellent from stinking socks.
Source: Citizen tv live at 9
hii kiboko kwamba socks chafu zilizovaliwa na kutoa harufu mbaya zinaweza tumika kama mosquito repellent...
Wadau damu ya hedhi wanayotoka wanawake kila mwezi ni sumu? nimesikia kuwa inaweza hata kuua au kuleta madhara mwilini hasa madhara ya ngozi.mwenye kujua anijuze.