Unafaa kuzijua dalili uchungu wa kuzaa. Unafaa kujua pia chagui za kujifungua. Inafaa usikie umetosheka na chaguo lako.
Katika sehemu ifuatayo utajifunza kuhushu uchungu wa...
Kuna kijiupele hiki kimenitokea upande wa chini ya mdomo, kinaniuma sana nini dawa yake jamani?
Huwa sio mara ya kwanza kinakuja hlf baada ya muda kinapotea na kurudi tena. Nipeni tiba wadau.
Kwa muda sasa nimekuwa nasumbuliwa na miguu kuniuma, sehemu za katikati ya unyayo. Huuma kama vile kuna kitu chenye ncha kali kinanichoma. Napata shida hasa niamkapo asubuhi au nikiwa nimekaa kwa...
hili tatizo limeanza baada ya kunyoa nywele ktk sehemu za siri!nilitumia gillate mpya,but napata muwasho sana mpaka nakosa raha!nashindwa kuelewa hili tatizo limetokana na nini?
Naomba ushauri...
hi wanajf,,,, jamani naombeni msaada wenu. ninatokwa na vitu kama shatashata ukeni lakini havinuki wala nini nikikaribia period vinakua vizito i mean maji maji mazito please help
Muundo ya moyo na mishipa ya damu ni mojawapo ya vinavyooathirika katika magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo. Vijusi(fetuses) kati ya 8 hadi 10 huathirika kwa kila 1000.
Magonjwa ya moyo ya...
Msaada wakuu mama yangu anasumbuliwa sana na pressure na anatumia dawa za
Nifedipine kwa muda sasa,ila bado kuna wakati inapanda.Naomba kujua kama kuna dawa
anaweza kutumia na ugonjwa huu ukaisha.
Mini ni mwanaume, miaka 26, naishi Dar.
Nilikuwa na mdada mmoja ivi kimapenzi. Tulidumu kama miezi 6 ivi kwenye mahusiano yetu, na tulikuwa tunasex karibia kila siku. Kwa kweli kitandani...
Hi all!
Nina tatizo la usingizi. Kila ikifika saa 4:00 usiku ni lazima nipatwe na usingizi mzito kiasi kwamba wakati mwingine hushindwa hata kuosha kinywa changu kabla ya kulala!
Na jinsi...
Hivi ulishawahi kusikia mnyama akigua au kufa kwa ugonjwa wa moyo kama pressure?
Ninaposema mnyama nina maana asiye binadamu lakini ana moyo kama vile mbwa, ng'ombe, sokwe.
Sasa kama wanyama...
habari zenu wana jf doctor,za siku nyingi?hope wazima wote
samahani nimesikia kua mafuta ya ubuyu yanapunguza unene ni kweli?
Mana kwa jinsi nilivo yaona yapo kama korie hata harufu pia,
na...
habari hawa jf naomben mnisaidie hapo.mm.nkiwa kwenye siku zangu naumwa sana natumbo nakosa raha na nachelewa kupata siku zangu na miaka miwil sijabahatika mtoto tatzo langu ni mayai hayapevuki...
Source: Gazeti la Mwananchi Alhamisi,Januari10 2013 saa 12:13 PM
HALI ya maisha pamoja na mazingira husika yanayomzunguka binadamu imeelezwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa nguvu za kiume...
am a lady, naombeni mnisaidie nimetokea madoa doa miguuni na mba za ngozi juu ya titi,naombeni sana msaada yaani sina raha, kila nachotumia hola, naamini ntapata ushauri wa kitaalam zaidi, asanteniiii