Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mm ni binti, ninahitaji ushauri na msaada wa kitabibu pia if possible, toka nimekuwa (means nimepevuka) siku zangu yaani hedhi haziendi kwa mpangilio(yaani sina mzunguko maalum kama ilivyo kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kwa anayefahamu daktari wa mbwa maeneo ya kitunda anisaidie tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu,nimekuwa na tatizo la haja kubwa kutoka pale ambapo nimejisikia kukojoa na ninapo jaribu kukojoa. Hii haijalishi nimejisaidia haja kubwa mara ngapi,nikienda haja ndogo tu,ninapo sukuma,na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mwenye uelewa wa haya mafuta please naomba anisaidie..nimeambiwa hapa ni mazuri kwenye kuchanganya na uji wa mtoto..tho mwingine ananiambia noo...nimeyanunua hapa je..nikamuanzishie hiyo diet?as...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Habari zenu wana jf naombeni msaada wenu kwa anaejua dawa ya kunyoosha sehem ya sili mimi ni mvulana.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau habari hapa jamvini Mimi nauliza swali je mtu anaetumia ARV anaweza kugundulika kwa dalili zipi??
0 Reactions
25 Replies
25K Views
Helo jf doctors,naomba ushauri kwa mtu ambae ngozi yake ya mafuta na ana rushes.ni lotioni gani nzuri atumie?ni hilo tu
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Natumai j/pili inaenda sawia kabisa. Ndugu wadau, naomba kuelimishwa juu ya umuhimu wa mafuta ya ubuyu kwa afya ya binadamu. Pia napenda kufahamu madhara yake kama yapo. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani hivi siku hizi Suala la Macho na Miwani limekuwa Biashara huria ama?mbona kila aumwae kichwa,au macho hakuna dawa tena sasa ni miwani strait!!Mbona zamani tulikuwa tunatafuta hata uongo wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
ANYSEE is an International Company registered in Hong Kong in the year 2000. It is a worldwide company with branches in Russia, Malaysia, Indonesia, China and Hong Kong being the Head office...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana jf naombeni ushauri nifanyeje , mwenzenu vidole vya mikono vimekwisha,vinauma sana fangus imenila kweli kweli, na kusema nisishike maji ndio kibarua kinaota nyasi, kila siku lazima nifue na...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Habari zenu wakuu , eti madaktari na wataalamu wa JF naoba kuna uhusiano gani kati ya Hearing loss na ganzi za miguu .Maana nina sumbuliwa na hivi vitu viwili na hapa majuzi kuna watu wame...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habariii? Zenu jf members. Mwenzenu siku hizi nimepunguza stress kwa kuyaangalia maisha katika positive atittude. Basi nimeanza kutoka kakitambi kananikera kweli, imefikia hatua nikiwa out nabana...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Jamani kuna rafiki yangu mke wake amejifungua kwa upreshini ni mwezi wa 3 sasa na mke wake amerudi kwake juzi pamoja na kitoto chake. Tatizo ni kua unajua tena mwanamke na mwanamme yawakai pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mnisadie jamani, kama heading inavojieleza!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari waungwana...mm ni mjamzito wa miez kadhaa hv..tatizo langu ni kutafuna mchele mbichi jamn..na nimeanza hv karibun kila baada ya masaa 6 hv lazma nijisikie kuutafuna mchele..je kuna madhara...
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Kwa muda wa siku tatu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kitu kama minyoo inayotembea sehemu ya haja kubwa hivi huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni wapi kuna clinic ya magonjwa ya moyo / Dr. mzuri hapa Dar?Asante
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Liver Damage caused due to Alcohol Abuse These days, men and women regardless of the age are fond of drinking alcohol. This is their way of escaping their uncertainties in life and some problems...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Habarini za jioni Madaktari na Washauri mahiri wa jukwaa hili. Naomba mnisaidie tatizo langu. Kila ninapoamka asubuhi, hukuta uchi wangu umevimba mpaka unatisha. Ni tatizo lililonianza...
3 Reactions
101 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…