Poleni na kazi.
Mwanangu ana mwaka na miezi miwili, huyu mtoto ni wa kiume, tangu aanze kula chakula cha kawaida kwa watoto wadogo ( tunatumia celeriac, pia huwa wanamuandalia vingine kwa kusaga)...
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa...
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa...
Naomba msaada huduma ya kwanza ni ipi. Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ameweka BBE machoni pale, sasa kabla hajapelekwa hospital amesafishwa kwa maji macho yake.
Je, wana JF kuna kitu Kingine cha...
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya inachafua hali ya hewa na kuhatarisha afya za Wananchi hospitalini na wanaoizunguka kwa kukosekana Incinerator (mashine maalum ya kuchomea taka).
Incinerator...
Habarini wanajukwaa la JF Doctor.
Nisiwachoshe na niende moja kwa moja kwenye mada, kutokana na matumizi ya vifaa vya kiumeme hasa runinga, kompyuta na smartphone kwa muda mrefu nimejikuta...
Na Dr.Kenge MD,
Jini makini,vidole Madini
2024,
Tabasamu la furaha linashamiri nyusoni kwa wengi.Ni saa ya Kirumi inaposoma kukamilika kwa Majuma 365 ambayo kwa wanajiografia wanasema "Earth...
Wanajukwaa nczunguke sana na pia so mwandishi sana wakina ni kutokana na kifaa nnachotumia.
Unajua katika mitandao ya kijamii hiv vitu vinazungumzwa kila kona . Tik tok , fb, Instagram na n. k...
Kwa kweli zimekua kero last time kutumia zilinishinda ikabidi niuze mechi lakini nilitumia mafuta.
Malalamiko yamekua mengi sana. Ni nzito na hazina flavor. Tunajua zinatolewa bure lakini...
Kwanza nawasalimu wote!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, tatizo langu lilianza mwaka 2009/2010! Nakumbuka niliumwa, nikaenda dispensary nikaambiwa nina Malaria, nilipewa dawa..nilitumia...
Wakuu,
Kama mada inavyosema hapo juu, naomba msaada wakujua tiba ya magonjwa hayo mawilii.
Maelezo;-
Kutetemeka mikono, hii hutokea mara kwa mara na zaidi zaidi pale nipofanya kazi za kutumia...
Kituo cha Afya kilichojengwa Kata ya Mkumbi, Halmashauri ya Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma kimechukua muda mrefu kukamilika, tatizo ni siasa na mizunguko kibao.
Kwanza tangu mradi uanze aliyekuwa...
Hii Halifa ya upungufu wa testosterone kwa wanaume imekuwa kubwa Duniani sasa. Wanasema sababu ni:
1. Uzito mkubwa
2. Vitambi
3. Kutofanya mazoezi
4. Matumizi ya madawa ya kupunguza maumivu. Nk...
Habari wana jamii forums naombeni msaada jamani mwenzenu nina tatizo sugu kuna vipele vinanitoka kwenye mkunjo wa mkono ni vidogodogo ila vinawasha sana na nikikaa bila kushiliki ngono vinapotea...
Chipsi ni moja kati ya chakula kinanchopendwa zaidi duniani
KIUKWELI katika vyakula vitamu duniani na vinavyopendwa haswaa na watu duniani usiposema chipsi utakuwa mtu waajabu sana. Chipsi...
TATIZO la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huwakumba wanawake wengi waliopo kwenye umri wa kuzaa au wale wanaokaribia kufikia ukomo wa hedhi.
Japokuwa wengine huchukulia tatizo hili kama kitu cha...
Nina wiki ya 4 sasa nasumbuliwa na maumivu ya mguu wa kushoto kuanzia kiunoni chini ya goti la kushoto mguuni panakua panakufa ganzi kabisa
Ninashindwa kuinama kabisa mfano kuokota kitu chini au...
Kwa miaka mingi, mimea asilia imekuwa chanzo muhimu cha tiba katika jitihada za kupunguza uzito kwa njia inayofaa na asilia. Matumizi ya mimea asilia ya viungo chakula kama sehemu ya mlo wa kila...
Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha...