Habari wana jf!
Kama siku nne hivi nilisikiliza radio flani nikasiki denmark wa,egundua cure ya hiv!
Ila naona wataalam mbali mbali wanaipinga hii kitu!
Yeyote mwenye ufahamu juu ya swala...
Large intestine and rectum constitute colon. Primary function of colon is the removal of water from undigested material and convert it in to waste material that passes through rectum and finally...
Clinical trials for a new technique
pioneered by Danish researchers
are underway, and doctors are
optimistic
Danish researchers are readying
human trials for a potentially life-
saving new HIV...
salaam nyingi ziwafikie woote.
Baada ya salam, ni hivi; tangu nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa 2 ni mwaka 1 umepita ila nina tatizo na mshono wangu, unawasha sana na kuchoma choma...
Jaman naomben msaada wa ushauri,tiba, dawa, au chakula na nk
maana vipimo vya mara mwsho tar 12/04/013
ilionesha
WBC 2.5 _abnomal
kawaida inatakiwa kuanzia 4.0 hadi 11.0 _nomal
msaada...
Tanzania and Rwanda have been cited as examples in Africa in the fight against the killer disease malaria where there are over 200 million cases every year and a death rate of 25 percent.
An...
Jamani WanaJF,
Nina matatizo makubwa sana ya kisaikolojia ambayo yanaathiri sana maisha yangu ya kila siku. Kuna sometimes nawaza hadi kufa, vipi kwa wanaojua kama hapa Tanzania kuna sehemu...
wakuu kuna mada inayo sumbua vichwa vya wengi sana sana wazee wetu ambao hawaja ionja ladha ya skull.
Kwa upande wangu nimeamua kuingia jf kuutafuta ukweli.
Ivi maumivu ya...
Habarini madocta wote na wenye ujuzi,naomba kujuzwa kuhusu dhana hii ya kubembenda,ni nini hasa,sambamba na hilo nimesikia mahali wakisema wazazi wenye mtoto mdogo aliezaliwa wanapojamiiana huweza...
Could this be the cure for HIV?: Scientists predict vital breakthrough in fight against Aids virus
Danish scientists using a technique which strips HIV virus from human DNA
Process involves...
Kuna rafiki yangu ana tatizo la kutoka harufu mbaya kutokea katika koromeo na kwenda mdomoni sijui tatizo ni nini ? .Halafu rafiki yangu anapenda kunywa pombe kali kama konyagi.Msaada please .
jaman nahitaj msaada nina mtoto mmoja ila matiti yangu yamelegea sana kiasi kwamba nakosa uhuru wa kufanya mapnz napokutana na mwanaume huwa cvui nguo yangu ya juu kuofia kuyaona matiti yangu...
Watafiti nchini Cambodia (magharibi) wamegundua vimelea sugu vya malaria. Vimelea hivi vina uwezo wa kuhimili:
Dawa za malaria za artemisinin (dawa hizi ndizo dawa zinazotumika kutibu malaria...
Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapotoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa...
Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa...
Gazeti la The Telegraph la Uingereza 27/04/2013 limeripoti kuwa Dawa ya kutibu Ukimwi itapatikana miezi michache ijayo. Ugunduzi umefanywa na wanasayansi watafiti wa Denmark. Tiba hii itasambazwa...