Nasikia kuna baadhi ya watoto huzaliwa wakiwa na meno, ndevu, makunyanzi usoni, mvi etc.
Je ni nini hupelekea hali hii?
MAAJABU yametokea kwa msichana mkazi wa kijiji cha Mpasa mwambao mwa Ziwa...
Habari zenu jameni,
Naomba kuuliza , hivi kuna ugonjwa wa ngozi ambao mtoto anaweza kupata ukamfanya anaamka asubuhi sehemu za nywele kichwani zimenyonyoka? Nakumbuka enzi za utoto nikienda...
Habari wana jf
Nina ndugu yangu ana miaka 41 mwanaume, kwa bahati mbaya FIGO zake zote zimefeli. Tunaomba kwa anayeweza kumsaidia figo 1 afanye hivyo nasi tutamzawadia mtu huyo milioni 40...
Habarini wakuu!!!
Nasumbuliwa na maradhi nisiyoyaelewa, tangu juzi usiku nasikia maumivu makali sehemu zangu zote za siri ila ni maeneo ya nyama ya nje na sehemu inakopita chupi kiasi cha...
Habiri zenu Doctorz?
Naombeni kujuzwa juu ya utata unaonitawala ktk ulaji wa vyakula vilivyopikwa kwa electronic equipments i.e Microwaves, RiceCooker, Kettle etc.
Je, kwa upande wa afya, kweli...
Mi Ni kjana miaka 25, kila mara baada ya mwezi, niendapo haja ndogo huwa nahc kama nina kichocho kwani mkojo huuma sana na najisikia vibaya mara tu baada ya kumalza kukojoa, nmekwenda maabara...
Heshima mbele waungwana,
kwa muda sasa ndugu yangu amekuwa na tatizo la kupata ganzi mwili mzima. ganzi hiyo huanzia miguuni kwenye nyayo na kupanda taratibu kwa siku kadhaa sasa imefika hadi...
Green Tea Shown to Protect against Digestive Cancer
Green tea may offer the solution (or at least part of a solution) in the prevention of digestive cancers, according to another study out of...
KWA UFUPI
Hata hivyo, wataalamu wa afya kutoka Afrika Kusini wamekuja na dawa maalumu, zilizo na uwezo wa kurudisha kumbukumbu, kuongeza upeo darasani, kuondoa sumu mwilini na kumfanya mzee...
Chemicals Banned in Europe Still Make their Way into US Foods
Have you ever tasted a soft drink so good you thought it should be illegal?
In some parts of the world, ingredients used in...
Ndugu nina kivimbe kwa zaidi ya miaka nane sasa sehemu niliyotaja hapo juu.. Hivi karibuni kimeanza kuuma na sijaenda hospitalini. Je kivimbe hicho kinaweza kuwa kimesabishwa na nini? Naombeni...
Mwenzenu naomba mnisaidie dawa au jinsi ya kutibu halufu mbaya mdomon,nina mdogo wangu anasumbuliwa sana hilo tatizo kiasi kwamba hata wenzanke wanamnyanyapaa.
Wakuu madaktari wa Jf,nina ndugu yangu mwaka jana mwezi wa nne alipatwa na matatizo ya akili,na kuanza kuongea maneno yasiyo eleweka,kudai anasikia sauti za aina mbalimbali ambazo wengine...
Habari ndugu,
Wife wangu anatatizo la kupenda kulala lala anadai anachokachoka. anaweza lala saa 2 usiku na akaamka saa 1 then saa 4 mpaka saa 6 mchana. akila lunch tena analala hata 30minutes...
Na hii nayo ni ya Kichina!!!
Virutubisho hivi ni vizuri kwa wale wanaokwenda katika mitihani au wanataka kufanya kazi inayohitaji umakini wa hali ya juu
Nisikuchoshe kwa mlolongo wa maneno...
Wazima jamani?
Kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi.
Natanguliza...