Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari wana JF kuna rafiki yangu kaowa wiki mbili zilizopita ila tatizo linalomsumbua na kumkwaza ni kua mke wake anapata maumivu makali sana wakati wa tendo na kibaya zaidi ni kua hafurahii tendo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo. Pia watafiti hao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Bila Shaka Mu Wazima madokta wangu! Mwenzenu huku ari ni ya utata sana, kwani ninatatizo la kula sana takribani kilo moja na nusu Hiyo ni kwa mlo mmoja tu yaani asubuhi, na mchana ukifika mwendo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kusaidiwa japo ushaul..kuna maumivu yanaanzia kwenye korodan yanapandisha mpaka tumboni..hiyo ni nn?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalamu, poleni na majukumu, hongereni kwa kazi.... Jamani, mi nimewahi kutana na watu wakinieleza kuwa wapo baadhi ya wanandoa ambao mmoja katika hiyo ndoa ni HIV +ve wakati wingine ni -ve., na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salamu kwenu wataalamu wote! Hata wadau wote wa jukwaa hili. Naomba kujua, je kondomu za kiume kutoka kampuni gani angalau ni sahihi kwa (a) kuzuia virusi vya UKIMWI na (b) kuzuia mimba. Naomba...
0 Reactions
5 Replies
13K Views
wapendwa mwenzenu kichwa kinaniua jamani nimetumia dawa bila kupona naombeni ushauri nn tiba mbadala
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habri JF kuna kitu naomba kukileta kwenu tusaidiane kulitatua. Tatizo la kutojiamini mbele za watu. Mtu anaweza akawa anajua kitu lakini akaogopa kujielezea mbele za watu.hasa linapokuja swala la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu ukeni mweupe na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, nimemgundua jana akaniambia hajui ni nini, utakua ni ugonjwa gani na sababu ni nini? na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wana jamii forum hbr gani? Shemeji yenu amekuwa anatapika cku nzima ana mimba ya miezi 2 ila inamsumbua mno, jamani anaweza ku2mia dawa gani?
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu mweupe ukeni na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, atakua ana ugonjwa gani na tiba yake ni nini? Pia naomba kufaham mimi naadhirika vp maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Caffeine, a naturally occurring drug, is found in coffee beans, tea leaves cacao pods and fruits of plants. It forms a part of various popular products and beverages, like sodas, tea, coffee...
3 Reactions
12 Replies
25K Views
Naomba ushauli mke wangu toka amejifungua sasa ni mwezi wa tatu na mtoto anashika mwezi wa nne hajapata hedhi je nikawaida.?au ni tatizo.?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamke akiwa anabanwa na mkojo mara kwa mara muda nwingine anatoka kukojoa lakini baada ya dakika tano tu anabanwa tena lakini hajisikii maumivu wala kuchoka wala dalili zingine za magojwa je...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ngozi,tumejaribu kutumia dawa tulizoandikiwa na daktari,alionyesha dalili za kupona lakini hali imerudia tena. Leo kuna dawa tumeambiwa tununue inaitwa...
0 Reactions
4 Replies
910 Views
Ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na harara zilizochanganyikana na chunusi tangu mwaka 2006, nimekwenda dispensary na mahospitali mbalimbali lakini naona hakuna mafanikio. mara ya kwanza...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
IKIWA LEO NI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI HEBU ONA HII SURA YA MTOTO YATOKEA KWENYE TUMBO LA MAMA MJAMZITO,,, Ukiangalia vizuri Picha hii utaona sura ya mtoto imetokeza kwenye ngozi ya...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi nasumbuliwa na vidonda vya tumbo, vinamuda wa mwaka mmja toka vinipate.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pilipili mboga nyekundu inatibu Maradhi mengi mojawapo haya hapa. (1)Blood Pressure (Maradhi ya Presha) Tumia Unga wa Pilipli mboga nyekundu pamoja na maji ya Moto glasi moja itakusaidia kutibu...
2 Reactions
18 Replies
13K Views
Topetope au stafeli? https://m.facebook.com/photo.php?fbid=349339301851876&id=265573826895091&set=a.265581016894372.64870.265573826895091&_rdr#349365355182604
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…