Mdogo wangu haoni mbali na matatizo hayo yalianza miaka 13 alipewa dawa za hospital za kuweka kwenye macho lakini wapi! akaenda ccbrt wakamcheki wakamwambia kuwa hana matatizo yanahitaji upasuaji...
Habari za mida hii wanajukwaa?
Kwa takribani siku ya tatu nahisi njaa muda mfupi baada ya kula. Huwa nakula mara tatu Kwa siku, lakini Hali ya Sasa hivi inanipa wasi wasi hasa ni nini nakosa...
Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa...
Baadhi ya watu wana kasumba ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza.
Anapitia changamoto hizi.
★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia...
BAWASIRI
kama unataka kupona kabisa na kwa uhakika just call this number
0755780631,0620448976
Usipopona unarudishiwa hela yako...na ni ndani ya siku mbili unaona mabadiriko.
Muda mrefu nasumbuliwa na vinyamanyama vimefanya sehemu ya Siri bawasili watu wananiambia lakini nishatumia dawa nyingi bado cjafanikiwa naomba msaada wenu please
SOMA KWA UMAKINI
Kuna kitu kinaitwa cellular adaptation.
Ukijua hii huwezi kununua dawa za kuongeza uume au matako.
Iko hivi cells za mwili wa binadamu ukiziweka kwenye stress iwe ya muda mrefu...
Jaman naomben kujua Je Water Guard nisalama ukiweka kwenye maji tuu na kunywa maana naskia wanasema siyo salama mpaka uchemshe maji pls tusaidiane wapa wataalamu
KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi...
Chumvi, kwa Kimombo ikijulikana kama Table salt, kwa Kihaya Omwonyo, na kwa kisayansi sodium chloride ni muhimu kwa afya ya binadamu, lakini unapaswa kuitumia kwa kiasi sahihi. Matumizi mabaya ya...
Helloo JF!!
Hili sikulijua kabla au nililichukulia poa. Ni week ya tatu tangu nianze ratiba ya ufanyaji mazoezi kila siku tatu za juma saa 11 alfajiri. Hii ni baada ya siku moja kulazimika...
SIGN OF VITAMIN B12 DIFICIENCY SYMPTOMS
JICHUNGUZE KWENYE ULIMI WAKO UKITOKEA ALAMA KAMA HIZI KIMBIA HARAKA HOSPITALI KAMUONE DAKTARI UTAKUWA UNA UPUNGUFU WA VITAMIN B12 MWILINI MWAKO NI HATARI...
Kama wewe ni wale ambao tunakunya Kwa neema Njoo hapa haraka Sana. Imefikia hatua nakula nikilala usiku nasali kesho nipate choo.
Nakula Sana lakini sijui chakula kinaenda wapi. Tumbo linauma pia...
Habari,
Wadau Mimi nina mdogo wangu aliteguka begi wakati anadaka mpira na kupelekea bega kushuka na kushindwa kubeba vitu swali langu amefanya vipimo cha MRI ya UTI wa mgongo kilingana na...