Kuna redio moja nikiwa kwenye gari nimesikia wanasema kwa mwanaume kama hutoi majimaji kwa wingi kabla ya tendo la 6*6 inasababisha kuchelewa kutoa manii na tatizo likizidi inakuwa tabu kutoka...
A new pharmaceutical plant to produce life-prolonging anti-retroviral drugs(ARVs) has been installed in Arusha and set to start operations soon.
Ramadhan Madabida,CEO of the Tanzania...
Salaam ndugu zangu,. naomba msaada kwa anayejua matibabu ya keloids(uvimbe fulani mweusi huota kifuani, shingoni, mgongoni au hata usoni) kuna mdogo wangu |(wa kike)ana uvimbe huo nitaweka picha...
DAILY HABITS THAT WILL INCREASE YOUR MIND POWER
1. Go for a walk with a friend.
That means walking with a friend so that you talk as
you walk. Social connection, physical exercise and...
wadau kila nikiswaki asubuhi huwa natapika nyongo. Nikisha tapika huwa nakosa hamu ya kula chakula kwasababu inaniletea kichefuchefu. Nawailisha wataalam.
Unapokuwa na tatizo la sukari, unatakiwa kujua jinsi ya kuishi kila siku ili kuepukana na tatizo hilo. Kiasi ambacho hata mpenzi wako ataacha kuogopa kuhusu hali yako. Kiasi kwamba afya yako...
Msaada wapendwa,
Mwanangu wa miaka 3.5 haongei, alianza kutaja maneno kama dada na mama akiwa na umri wa miaka 2 lakini hajaimprove mara kadhaa nimemuona akiniita mama lakini ananiita kwa wiki...
Common Health Mistakes
All of us make little health mistakes that cause damage to our bodies in the long run simply because we are unaware we are doing something wrong. Here are some of the...
Heshima kwenu wanajamvi,
kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo...
Kuna jirani yetu alijifungua juzi kati hapa. Kwa sababu kila kitu kilienda sawa, aliruhusiwa the same day akatoka hospitalini. Cha Ajabu siku iliyofuata alfajiri, akatapika matapishi yana traces...
Wana jamii wenzangu naombeni mnijuze, mwenzenu nimekuwa na hamu ya kula udongo mara kwa mara. Mimi nina chofahamu ni kuwa hamu ya kula udongo inatokana na mtu kuwa mjamzito lakini mimi si mjamzito...
Jana nilikuwa nafuatilia kipindi kimoja redioni kinaitwa "Afya ya jamii" kuna Daktari mmoja alikuwa anaelezea jinsi ya kutibu magonjwa mbali mbali haswa yatokanayo na kuvunjika mifupa, kupasuka...
Wataalam wanasema moja ya vitu vinavoweza kuzuia CANCER kwa binadamu ni utumiaji kwa wingi wa vyakula/matunda/mboga mboga ambazo zina wingi wa ANTIOXIDANT. sasa sija haja ya kuichambua hiyo...
Kwa taarifa ambazo leo zimepamba magazeti lukuki,kuhusiana na Kuku wakisasa wanavyosababisha Kansa,na kuwa na homorne zinazosababisha Wanawake kuota ndevu,ugumba na Wanaume kuota matiti nk...
Kwa wale wasioweza kuzaa kutokana na mume au mke kuwa na hitilafu, hizi ni njia za kuondoa tatizo hilo badala ya kwenda kwa wachungaji wa makanisa chipukizi. Gonga link upate very important...
wanajamii forum naomba mnisaidie,kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua kwamba ktk jamii zetu watoto wengi wanaozaliwa ni wa kike kuliko wa kiume,hii inatokanas na nini?