nna week ya tatu na bleed tu yaan napata siku zangu.baada yakumaliza mp nilienda kukutana na mpenz.baada ya hapo ninableed mfululizo.jaman anaejua shida anisaidie
Tunaiomba serikali iweke wazi kwamba kumudumia mama mjamzito anapokwenda kiliniki kuwa nihela
imekuwa kawaida sasa kwa hosptali zetu kuwatoza fhedha wamama wajawazito wanapokwenda kilini,kati ya...
UTAFITI mpya wa kitabibu umebainikuwa saratani ya shingo ya kizazi, inasababishwa pamoja na mambo mengine na ngono kama ilivyo kwaugonjwa wa Ukimwi, madaktari bingwa wa magonjwa ya maradhi hayo...
Habari wana JF jamani mimi nina sumbuliwa na tumbo sana huwa linajaa hata nikila kidogo, tumbo lina jaa gesi sipati choo vizuri maumivu ya kibofu yani tafrani nimejaribu kwenda hospitali nimeishia...
Ana ujauzito wa mwezi mmoja.,kichwa kinamuuma sana,anachoka,viungo pia vinamuuma.Anatamani kumeza dawa ila amekuwa na hofu maana hajajua dawa ambazo zitakuwa salama.
Amepima malaria...
habari za kwenu, itikadi imezingatiwa,, , ,
ni kwa kitambo kidogo tu nimepotewa na mzee moja rafiki angu wa karibu,, ambaye amepotea
kwa cancer ya prostate,,, Mungu ailaze roho yake mahali pema...
Happy New Year JF family.
I need assistance from any body who knows what medication can be used to help treat an 'intractable' dry cough that has resisted, cough syrups (even those with codeine)...
Totally blind mice have had their sight restored by injections of light-sensing cells into the eye, UK researchers report.
The team in Oxford said their studies closely resemble the treatments...
Habari JF Dr,
Shida yangu ndogo ila sasa naona imeanza kunikwaza na ninakuwa na wasiwasi,
Nikiwa nacheza mpira nilianguka na kujizuia na mkono wa kushoto ,hivyo ukashituka(sina hakika ,ila...
VIMAX KAPSUL PEMBESAR PENIS
Vimax Kapsul Pembesar Penis Alami Adalah Produk Herbal Alami Berupa Kapsul Yang Berkhasiat Untuk Menambah Panjang Dan Lingkar Penis,,Vimax Capsule Juga Berfungsi Untuk...
mimi nina wasiwasi na chanjo hizi ingawa sio daktari. Ninaomba ushauri wakina kutoka kwa wenye ujuzi hasa suala la chanjo hizi mpya za kichomi na kuhara. Ninachojua ni kwamba kuhara ni hali ya...
hi jf...naomba kufahamishwa maeneo kwa maana ya maabara hapa dsm ambapo upimaji wa cd4 unafanyika privately na kwa bei nafuu...less than 50,000..asante
Wadau naomba msaada mtoto wangu wa miaka 4 na niwa kiume hapendi kula chakula chochote zaidi ya chai na mikate ya boflo.Ukimlazimisha kula kwa nguvu anakula kiasi na baadae anajitapisha...