Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili.
Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu?
Note. Kwa maiti zote zilizo...
Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana.
Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi.
Ukichuchumaa linyama...
Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina...
Uric Acid ni kemikali ya asilia ambayo inapatikana katika mwili wa binadamu. Kemikali hii hupatikana baada ya kuvunjwa vunjwa kwa vyakula ambavyo ndani yake kuna kundi la kemikali aina ya “Purine”...
Habari wana JF.! Naomba kuuliza kuwa mtu anayetumia ARV inasemekana kuwa anauwezekano mdogo sana wa kumwambukiza HIV mtu ambaye ni negative kwakuwa akishaanza kumeza ARV virusi vinafubaa pia...
Mwenzenu nimekuwa na tatizo la kukoroma saana usiku mpaka imekuwa kero kwa mke wangu. Kuna kipindi alikuwa ana lalamika eti namkosesha usingizi kwasababu ya kukoroma kwangu.
Nilibisha nikaona...
Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake.
Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji...
Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake.
Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii.
Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji...
Boost homoni yako ya Testosterone kwa kutumia natural foods. Chukua Popcorn [emoji897] tushuke nayo taratibu:
•NDIZI MBIVU:
Ndizi ni chakula kizuri kwa ajili ya afya ya uume wako. Ndizi zina...
Mimi ni mmpenzi sana wa mazoezi ya aerobikale na ya kunyanyua vitu vizito(vyuma) sasa kuna hili swala linanitatiza sana kwa mabaunsa/wanyanyua vitu vizito wengi hapa DSM na sehemu nyingine za TZ...
Wakuu habari. Natumaini ni wazima wa afya.
Nna kijana wangu anasumbuliwa na gono na amepata matibabu mapema na kama liza dozi. Lakini halia ake bado ni ngumu haileti matumaini. Ushauri wenu...
Ndugu wapendwa mimi ni kijana wa miaka 22. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nasumbuliwa sana na tatazo la uoga tena uliopitiliza.
Katika kipindi chote ambacho nimeishi hapa duniani nimeishi...
Na Mwandishi wetu – Dar Es Salaam.
Upasuaji mdogo wa moyo wa kubadilisha valvu ya mshipa mkubwa wa damu (Aortic Valve) bila kufungua kifua (Transcatheter Aortic Valve Implantation procedure –...
Mwanangu anatatizo la ugonjwa wa ngozi. Ametoka vipele kama vya tetekuwanga . Vilianza mabegani naona sasa vinasambaa mwili mzima. Vinavimba kama uvimbe wa mtu aliungua na moto baadas vinapasuka...
Wakuu hebu tujibu hili swali,
Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu?
Kama unajua litaje.
Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha...
Habari zenu wakuu kitaalamu, mtu anayetumia mkono wa kulia na kutumia mguu wa kushoto huyu mtu brain functioning yake inakuwaje
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app