1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia.
2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia.
3. Inasemekana...
Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga.
Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama...
Habari wapenzi wa soccer.
Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025.
Natamani kila...
Kabla ya msimu huu kuanza ingekua ngumu kuamini Yanga itakua imepoteana kiasi cha kua kama togwa la kwenye harusi Kila mtu anajichotea tu..
Kwanza pre season pale south Africa, Yanga ilionekana...
Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow...
Uto wamepumzika kufungwa kwa muda baada ya kupiga bomu mochwari na kujisifu wameua kumbe wameua maiti.
Kocha wa Yanga Mzee Saidi Ramadhani aapa kuivunja rekodi ya Man City ya kucheza mechi 7 bila...
Hauitaji hata D 2 kujua hapa hamna kocha...Kuanzia ufundi, mbinu na kusoma mchezo vyote hamna kitu..
Ama kweli Tuliruka mkojo sasa tumekanyaga mavi.
Vipigo vitaendelea hadi uyu mpuuzi...
Hivi nyie 'nyuma mwiko' hamkui Tu! Mnatushangaza Sana, mmekuwa wa ku-copy and paste. Kila 'Nguvu moja' ikianzisha Jambo, basi Nyuma mwiko' lazima waige.
Kwa nini mnapenda Kula makombo...
Je huu sio utapeli kwa watanzania? kama unapewa haki ya kurusha matangazo bure kwanini we uuze? Tunaomba ufafanuzi kwenye hili kabla mechi za timu za Tanzania za leo. Pia TCRA, TFF, FCC na wizara...
Ni kama mechi kadhaa sasa sijaona ule utamaduni wetu wa kutoa misaada kwenye vituo mbalimbali vya wahitaji. Je inaweza kuwa sababu ya matokeo mabaya tunayopata?
Kikosi cha Yanga kimeondoka leo Jumanne Desemba 3, 2024 kuelekea Algeria kwa ajili ya kuivaa MC Alger katika mchezo wa kundi A michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Yanga inaenda kwenye mchezo...
Ni Yanga pekee imefanya hivyo kuondoka na ushindi kwenye ardhi ya waarabu Tena kwa swaga!
Iliwachapa Club African ya Tunisia goli 1 kwa mtungi kisha ikawachapa USM Algiers goli 1 kwa mtungi...
Wameyatimba,
Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars...
Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida.
Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za...
Formula One, also known as Formula 1 or F1 and referred to officially as the FIA Formula One World Championship, is the highest class of single-seater auto racing sanctioned by the Fédération...
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja
Awali, Guardiola alinukuliwa...
Hivi jina la club yenu ni lipi!?, Young Africans ( Waafrika wadogo) au ni Yanga wale yange yange ndege 🤔.
Wichi izi wichi!?.
Kumbe swala la kuhama hama mara Rangi ya jezi, mara viwanja...
Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita.
Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani.
Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa...